BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

Mh Na kischana duh ww umekuja Na gari au kwa mguu
 
Hivi mnamjua mdudu anayeitwa LONDON DRY???? kwa wale wa moshi na arusha
 
nlikuwa mwanza mwaka juzi nlikuta wanaziita bangi mbichi kama walijua bangi itakuwa mwisho 2017 wakazibatiza hizi kuwa mbadala
 
BALIMI EXTRA LAGER

BIA YANGU KANDA YENUUU
 
Hivi mnamjua mdudu anayeitwa LONDON DRY???? kwa wale wa moshi na arusha
Picha tafadhali....kwasasa FASTJET ndio habar ya twn

Sio kwamba hakuna bia babe zaid yake n kwamba pia inaendana na wakat

Bei yake cheap
Kesho yake unaamka pouwa zaid
 
Sijawahi kunywa Pombe, na sina mpango wowote wa kuja kuonja Pombe maishani mwangu.

Pombe ilaaniwe milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…