MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
Mbwa wewe hujaacha tu kupakuliwa?Waarabu ujinga wao unaendana na ile dini yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa wewe hujaacha tu kupakuliwa?Waarabu ujinga wao unaendana na ile dini yao
Ndio hiyo dini yenu inawafanya mpakuane huko uarabuni?Mbwa wewe hujaacha tu kupakuliwa?
Unafatilia mpira kweli? Si juzi tu kuna timu huko imecheza bila mashabiki baada ya kupigwa ban na cafMm nashangaa kwann mpaka sasa sijasikia timu yyte kutoka uarabuni ikipigwa faini ama uwanja kufungiwa maana wanafanya Fujo za wazi kabisa mbona Yanga juzi kati tu hapa vijifataki tuwili tukasikia faini kwann sio uarabuni?
Achana nae huyo mgalatia asiye na akili sijui nani kamrogaMada ni ball boys wa uarabuni na sio dini.
Ni kweli sheikh.Achana nae huyo mgalatia asiye na akili sijui nani kamroga
Hii comment yako ipigwe lamination ikabandikwe pale jangwani umemaliza kila kitu, I appreciate your critical thinking.Tukisema easy way tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa yanga, yaani tunaamini yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini yanga ni bora sana kuliko aliocheza nao
Ukitaka tusiseme hivi tafsiri yake yanga uwezo wake na ubora wake si kama top wa south (mamelody, kaizer chief) Bali ni Sawa na mshuka daraja marumo, ukitaka tusiseme easy way tafsiri yake yanga hana uwezo wa kucheza na ahly, wydad,raja,kaizer,mamelody na wengineo ndio maana akaenda kucheza na wa level yake rivers united
Kwa mashabiki wote wa soka nchini wote kwa peak aliyoifikia yanga msimu huu tulitamani kuona akicheza na mamelody, ahly, kaizer,wydad,na raja that's why we claim that it was an easy pass na hatutabadili misimamo yetu kama wapenzi wa soka(nimejiondoa kwenye usimba) na huu kwangu Mimi ndio ukweli