Ball boys wa Uarabuni

Mm nashangaa kwann mpaka sasa sijasikia timu yyte kutoka uarabuni ikipigwa faini ama uwanja kufungiwa maana wanafanya Fujo za wazi kabisa mbona Yanga juzi kati tu hapa vijifataki tuwili tukasikia faini kwann sio uarabuni?
Unafatilia mpira kweli? Si juzi tu kuna timu huko imecheza bila mashabiki baada ya kupigwa ban na caf
 
Hii comment yako ipigwe lamination ikabandikwe pale jangwani umemaliza kila kitu, I appreciate your critical thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…