Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Balon d'Or ni tuzo inayotolewa kwa mchezaji bora wa ukanda wa Ulaya, lakini ni tuzo ambayo unachukuliwa kama mafanikio makubwa kwa mchezaji mwenyewe. Utoaji wa tuzo hiyo inatolewa usiku wa leo huko Paris Ufaransa.
Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndio anayeonekana kuchukua nafasi kubwa kushinda tuzo hiyo kwa mara ya tano, na kulingana na mpinzani wake wa uwanjani, Lionel Messi, baada ya kuwa na msimu mzuri uliopita.
Kuna wachezaji saba kutoka ligi ya Uingereza ambao wanawania kinyang'anyiro hicho pamoja na Harry Kane, Eden Hazard and Kevin De Bruyne
Muda wa kuonyeshwa: Saa tatu na dk 45 (2145 hrs), muda wa kitanzania. Supersport 3
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi stats
=================
Updates;
Cristiano Ronaldo akipanda ndege binafsi kuelekea Paris kwenye sherehe za tuzo hizo
Nafasi za 30 -21 za Ballon d'Or hizi hapa
29: Dries Mertens - (Belgium, Napoli) and Philippe Coutinho - (Brazil, Liverpool)
28: Edin Dzeko - (Bosnia & Herzegovina, AS Roma)
27: Mats Hummels - (Germany, Bayern Munich)
26: Jan Oblak - (Slovenian, Atletico de Madrid)
25: Karim Benzema - (France, Real Madrid)
24: Radamel Falcao - (Colombia, Monaco)
23: Sadio Mane - (Senegal, Liverpool)
21: Leonardo Bonucci - (Italy, AC Milan) and Pierre-Emerick Aubameyang - (Gabon, Borrusia Dortmund)
Nafasi za 20 - 11 za Ballon d'Or hizi hapa
20: David De Gea - (Spain, Manchester United)
19: Eden Hazard - (Belgium, Chelsea)
18: Antoine Griezmann - (France, Atletico de Madrid)
17: Toni Kroos - (Germany, Real Madrid)
16: Marcelo - (Brazil, Real Madrid)
15: Paulo Dybala - (Argentina, Juventus)
14: Kevin De Bruyne - (Belgium, Manchester City)
13: Luis Suarez - (Uruguay, Barcelona)
12: Isco - (Spain, Real Madrid)
11: Edson Cavani - (Uruguay, PSG)
Majina ya wachezaji kumi (10) bora bila kuwa kwenye mtiririko wowote ni;
Gianluigi Buffon (Juventus); Harry Kane (Tottenham); N’Golo Kante (Chelsea); Robert Lewandowski (Bayern Munich); Kylian Mbappe (PSG); Lionel Messi (Barcelona); Luka Modric (Real Madrid); Neymar (PSG); Sergio Ramos (Real Madrid); Cristiano Ronaldo (Real Madrid).
Kwa kufuata mtiririko sasa, nafasi ni hizi;
10: Harry Kane - (England, Tottenham Hotspurs)
09: Robert Lewandowski - (Poland, Bayern Munich)
08: N'Golo Kante - (France, Chelsea)
07: Kylian Mbappe - (France, PSG)
06: Sergio Ramos - (Spain, Real Madrid)
05: Luka Modric - (Croatia, Real Madrid)
04: Gianluigi "Gigi" Buffon - (Italy, Juventus)
03: Neymar - (Brazil, PSG)
02: Lionel Messi - (Argentina, Barcelona)
Mshindi wa Ballon d'Or wa mwaka 2017 - Cristiano Ronaldo