Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

CleverKING

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
8,502
Reaction score
25,470
FIFA imetangaza majina matatu yaliyopitishwa katika kugombea Ballon d'Or 2015
Ni Messi,Neymar na Cristiano,

Wakuu tuchangie hapa,wewe unahisi ni nani anastaili kutwaa hiyo tuzo?
 
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..
 
40 goals in 52 appearances 21 assists
0 penalty kicks
With country 0 goals 0 assists 0 appearances
Suarez

48 goals in 47 appearances 14 assists
9 penalty kicks
With country 3 goals 0 assists 5 appearances
Ronaldo
 
Wamepita wachezaji 23 wewe hao wanne umewatoa wapi au ni chaguo lako mtoa mada..?
 
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..

Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.
 
hii kitu mwaka huu ni ya messi kwa upande wa c.ronaldo hakupaswa hata top 3 ila fifa wameogopa maneno ya watu kuja sema uefalona ila kiukweli 1. messi 2 neymar . 3 suarez
 
40 goals in 52 appearances 21 assists
0 penalty kicks
With country 0 goals 0 assists 0 appearances
Suarez

48 goals in 47 appearances 14 assists
9 penalty kicks
With country 3 goals 0 assists 5 appearances
Ronaldo

Unazungumzia mwaka upi?
 
Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.

Hujakosea sana.... Kuna kura pia za manahodha wa timu za taifa na viongozi wakuu wa vyama vya mpira wa miguu wa nchi wanachama wa FIFA, kama na mimi sijakosea kama wewe.
 
Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.

dah kumbe na huku upo,hongera mamy!.huwa napenda mwanamke anaependa siasa na michezo! Nikipata mke wa namna hi nitafurahi sana.
 
Back
Top Bottom