Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Mbona uzi umewekwa kishabiki huu?!! Wekeni stats zote za hawa wadau watatu ndio mfanye maamuzi. Maana hata kwenye ligi tu Pichichi alipata Ronaldo msimu iliopita. Vgezo masharti kuzingatiwa

Uzi upo kishabik 7bu sion umuhimu wa kumtoa Suarez
 
12289622_910023219051236_6969519753412073738_n.jpg
Iko poa sana HONGERA
 
Kwa mechi za october na november naona Neima na Suarez wako juu pengine bse merci alkuwa injured lakin karudi mechi mbili za juz bado kasi yake sio ile ya kutisha ila huyo Ronaldo ndo sijaona chochote; mechi dhidi ya barcelona na juzi dhidi ya Eiba sijaona mbwembwe za ronado labda kwa vigezo vingi vya goals; assisits n.k
 
Penaldo hana namna zaidi ya kukimbilia Man U by January, Real inahitaji Reformation sana, Bale, Jese, Benzema, Nacho na wengine wanatosha kuisimamisha Real na kuwa team Bora, Ronaldo anaisha kwa kasi. Kama alifunga goal tano mechi moja tu then baada ya hapo magoli yakaadimika, what then, anayeondoza league kwa Magoli ni Neymar then Suarez.
 
Uzi upo kishabik 7bu sion umuhimu wa kumtoa Suarez

Suarez aliingia ya uefa inamtosha hii ni FIFA wanangalia na performance yko ya team ya taifa suarez Uruguay hajacheza kabisa adhabu yake imemuharibia
 
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..

Suarez anaingiaje when haja contribute chochote kwny team yake ya taifa
 
hii kitu mwaka huu ni ya messi kwa upande wa c.ronaldo hakupaswa hata top 3 ila fifa wameogopa maneno ya watu kuja sema uefalona ila kiukweli 1. messi 2 neymar . 3 suarez

Suarez hajaingia cause haja contribute chochote kwny team ya taifa ndo maana kwny uefa walimuweka cause aliperform vizuri na club uku FIFA wanangalia general performance ya club na team ya taifa
 
Toka siku ilipotoka tuzo ya Mwisho,mpk tarehe ya kutangaza mshindi mwingine hao walioingia top3 wanaangaliwa wamefanya nin katika soka. Kumbuka kuna ligi ziliisha na sasa zimeanza tena msimu mpya,so weka rekodi za ujumla kwa kipindi kuanzia kumalizia ligi baada ya tuzo kutangazwa kwa mwaka jana mpaka msimu kuisha na msimu ulioanza mpk siku ya tukio la mwaka huu. Tuweke ushabiki kando bali takwimu ziamue. Km ni magoli,assists,dribbles au number of tackles.
 
Suarez hajaingia cause haja contribute chochote kwny team ya taifa ndo maana kwny uefa walimuweka cause aliperform vizuri na club uku FIFA wanangalia general performance ya club na team ya taifa
mliberia George Weah unamzungumziaje kuhusu tuzo ya uchezaj bora duniani na mafanikio ya timu yake ya taifa
 
Ongeza spidi mkuu ili uendane sambamba na matukio yanayotokea Duniani,

Katika kugombea huo mpira wa dhahabu wamebaki wachezaji 3 tu na ni hao niliowataja,

Halafu sijataja wachezaji WANNE kama unavyodai,nimetaja WATATU tu.
Achana nae kilaza huyo! Sijui anatumia smartphone kwa kuangalia picha za ngono tuu!
 
Mbona uzi umewekwa kishabiki huu?!! Wekeni stats zote za hawa wadau watatu ndio mfanye maamuzi. Maana hata kwenye ligi tu Pichichi alipata Ronaldo msimu iliopita. Vgezo masharti kuzingatiwa

Nani akuwekee? We umezuiwa kuweka?
 
Back
Top Bottom