CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Uko sahihi mkuu...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..
40 goals in 52 appearances 21 assists
0 penalty kicks
With country 0 goals 0 assists 0 appearances
Suarez
48 goals in 47 appearances 14 assists
9 penalty kicks
With country 3 goals 0 assists 5 appearances
Ronaldo
Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.
Soma hapa: Nominees for the FIFA Ballon d?Or 2015 awards revealed - FIFA.comWamepita wachezaji 23 wewe hao wanne umewatoa wapi au ni chaguo lako mtoa mada..?
Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.