Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

na luis enrique kaingia on top 3 ya kuwania kocha bora wa mwaka 2015
 
wakuu hii haihitaji muangaza ballon d' or ya 2015 ni ya king na si upendeleo bali ni vigenzo alivyo vionyesha
ni haki yake kuchukua mwaka huu
 
Nijuavyo hawachaguliwi wala kupangiwa na FIFA ni waandishi wa habari wa michezo duniani wenye kupiga kura, kama sijakosea.

...yes; ni manahodha wa timu za taifa ndio wanaopiga kura sio waandishi wa michezo, japo nao wanafanya mambo kwa mazoea.Nao pia wana ushabiki, coz for more than five yearz,hawa jamaa wamekuwa wakipokezana tu hiyo tuzo! so wanaona bora wote waendelee kuwepo.
 

Upo nusu sawa lakini hapo nilipokuwekea nyekundu umekosea nami nilikuwa sawa. Jisomee:

Representatives from every football nation on earth have played a role in electing 2014?s elite of the game. The three nominees for the FIFA Ballon d?Or ? Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, and Manuel Neuer ? were determined after a voting process open to the captains and head coaches of the men?s 209 member associations as well as international media representatives. The same process determined the three nominees for the FIFA Women?s World Player of the Year - Nadine Kessler, Marta and Abby Wambach - involving the women?s national team captains and coaches as well as representatives of the media.

Source: FIFA Ballon d'Or: All you need to know - FIFA.com
 
dah kumbe na huku upo,hongera mamy!.huwa napenda mwanamke anaependa siasa na michezo! Nikipata mke wa namna hi nitafurahi sana.

Sijakutana na mwanamke asiependa siasa na michezo. Kila mwanamke ni mwanasiasa na mwanamichezo mzuri kuliko unavyofikiria.
 
hii kitu mwaka huu ni ya messi kwa upande wa c.ronaldo hakupaswa hata top 3 ila fifa wameogopa maneno ya watu kuja sema uefalona ila kiukweli 1. Messi 2 neymar . 3 suarez

toa vigezo na sababu za kutokuwepo
 
Mbona uzi umewekwa kishabiki huu?!! Wekeni stats zote za hawa wadau watatu ndio mfanye maamuzi. Maana hata kwenye ligi tu Pichichi alipata Ronaldo msimu iliopita. Vgezo masharti kuzingatiwa
 
Wamepita wachezaji 23 wewe hao wanne umewatoa wapi au ni chaguo lako mtoa mada..?

Ongeza spidi mkuu ili uendane sambamba na matukio yanayotokea Duniani,

Katika kugombea huo mpira wa dhahabu wamebaki wachezaji 3 tu na ni hao niliowataja,

Halafu sijataja wachezaji WANNE kama unavyodai,nimetaja WATATU tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…