Mbona uzi umewekwa kishabiki huu?!! Wekeni stats zote za hawa wadau watatu ndio mfanye maamuzi. Maana hata kwenye ligi tu Pichichi alipata Ronaldo msimu iliopita. Vgezo masharti kuzingatiwa
Wamepita wachezaji 23 wewe hao wanne umewatoa wapi au ni chaguo lako mtoa mada..?
CR 7 =(mss + Nymr)
Iko poa sana HONGERA
wewe nawe unajua kila kitu kama google.
Uzi upo kishabik 7bu sion umuhimu wa kumtoa Suarez
...Ronaldo hakutakiwa kuwepo kwenye top three, Suarez anastahili, FIFA waache kufanya vitu kwa mazoea..
hii kitu mwaka huu ni ya messi kwa upande wa c.ronaldo hakupaswa hata top 3 ila fifa wameogopa maneno ya watu kuja sema uefalona ila kiukweli 1. messi 2 neymar . 3 suarez
Nadhani huu ndo msimu wa mwisho Ronaldo kuwika, labda aende kwa vibonde kule EPL!Uzi upo kishabik 7bu sion umuhimu wa kumtoa Suarez
mliberia George Weah unamzungumziaje kuhusu tuzo ya uchezaj bora duniani na mafanikio ya timu yake ya taifaSuarez hajaingia cause haja contribute chochote kwny team ya taifa ndo maana kwny uefa walimuweka cause aliperform vizuri na club uku FIFA wanangalia general performance ya club na team ya taifa
Achana nae kilaza huyo! Sijui anatumia smartphone kwa kuangalia picha za ngono tuu!Ongeza spidi mkuu ili uendane sambamba na matukio yanayotokea Duniani,
Katika kugombea huo mpira wa dhahabu wamebaki wachezaji 3 tu na ni hao niliowataja,
Halafu sijataja wachezaji WANNE kama unavyodai,nimetaja WATATU tu.
Achana nae kilaza huyo! Sijui anatumia smartphone kwa kuangalia picha za ngono tuu!
Mbona uzi umewekwa kishabiki huu?!! Wekeni stats zote za hawa wadau watatu ndio mfanye maamuzi. Maana hata kwenye ligi tu Pichichi alipata Ronaldo msimu iliopita. Vgezo masharti kuzingatiwa
Achana nae shabiki wa Man U huyo!Nani akuwekee? We umezuiwa kuweka?
Achana nae shabiki wa Man U huyo!