Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Mkumbushe na mamaako asisahau kuvaa pedi

Wakuu hizi lugha za kutukanana hazifai,sasa matusi na kupandishana presha ya kazi gani?! PEACE AND LOVE wakuu.
 
...wacha mbwembwe wewe, magoli yakupasia nyavu siku hizi hayauzi gazeti....
nenda kawaulize bayern, Messi aliwafunga goli gani!!!

ha ha haa unanikumbusha boateng alivofanyiwa mpaka alidondoka dah, huyo ndiyo Messi he is the king of soccer after Diego10....
 
Kama Messi atachukua Ballon d'Or kwa mara ya 5 hii ina maana gani katika ulimwengu wa Soccer? Ina maana Ma star wa Soka siku hizi sio wengi na ndio maana wamekuwa wakijirudia wale wale tuu?! Zamani ilikuwa sio rahisi kuamua nani achukue Ballon d'Or ila siku hizi watu wanakuwa wameshajua ni nani atachukua!! Ina maana kiwango cha Soka kimepungua siku hizi ukilinganisha na zamani?!
 

2014/2015 unadhani ni nani anastahili hii tuzo?
 
2014/2015 unadhani ni nani anastahili hii tuzo?

Neymar inabidi asubiri kama miaka 2 mbele,bila shaka Messi anaweza kupewa tena Ballon d'Or, Neymar anatakiwa ajijenge kinidhamu zaidi katika Soka,refer problem yake kwenye Copa America
 

toka waanze hii habari ya kupiga kura hajawahi kushinda mtu tofauti na messi na ronaldo (miaka kama 6 iliopita)

kwa kifupi tuzo za sasa hivi hazina tofauti na siasa mchezaji maarufu ndio anaeshinda na mfano mzuri tunaona 2010 ilikuwa ni vita kati ya iniesta na snedjer ila akashinda messi.

siku hizi washambuliaji wamekuwa overated sana, unakuta mtu anakosa nafasi zaidi ya 200 kwa msimu ila sababu kafunga goli 30 au 40 basi tunamuona bora duniani. na kuna watu wanaokoa nafasi hata 100 wasifungwe ila akifanya uzembe 1 anaonekana flop.

kama kungekuwa na upigaji kura watu kama cannavaro, beckenbeuer na mathias sammer wasingeshinda tuzo za dunia kwa mifumo kama ya siku hizi.
 
I like cr7 but this year should be Neymar's the boi is gud..very far gud..
 

Uko sawa kabisa Mkuu
 
vipaji vimepotea siku hizi,

haiwezekani unacheza zama moja na akina Zidane, Ronaldinho, Rivaldo, Raul, Del piero,Ronaldo De lima,Gabriel Batistuta, Roberto Bagio na wengineo halafu eti unachukua Balon' dor mara nne!!

Na pia kila siku ni wachezaji wawili 2 ndio wanaosikika kila siku.
 
Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid

*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks
 
Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid

*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks

Kwa hyo team haibebwi na Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…