Mimi ndio baba yako, embu acha kugombana na huyo mama yako, Eboooo!!!...mama angu ndio ww!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndio baba yako, embu acha kugombana na huyo mama yako, Eboooo!!!...mama angu ndio ww!
Mimi ndio baba yako, embu acha kugombana na huyo mama yako, Eboooo!!!
Mkumbushe na mamaako asisahau kuvaa pedi
Messi hana mpinzani hapo. Neymar asubiri baada ya miaka miwili.
Messi hana mpinzani hapo. Neymar asubiri baada ya miaka miwili.
Messi anapaswa kua mchezaji bora.
...wacha mbwembwe wewe, magoli yakupasia nyavu siku hizi hayauzi gazeti....
nenda kawaulize bayern, Messi aliwafunga goli gani!!!
Messi Ronaldo Suarez, huyo ney
Kabisa. Kumlinganisha Messi na Cristina kwenye hii tuzo ni sawa na kuilinganisha Algeria na Toto Africa
Kama Messi atachukua Ballon d'Or kwa mara ya 5 hii ina maana gani katika ulimwengu wa Soccer? Ina maana Ma star wa Soka siku hizi sio wengi na ndio maana wamekuwa wakijirudia wale wale tuu?! Zamani ilikuwa sio rahisi kuamua nani achukue Ballon d'Or ila siku hizi watu wanakuwa wameshajua ni nani atachukua!! Ina maana kiwango cha Soka kimepungua siku hizi ukilinganisha na zamani?!
2014/2015 unadhani ni nani anastahili hii tuzo?
Kama Messi atachukua Ballon d'Or kwa mara ya 5 hii ina maana gani katika ulimwengu wa Soccer? Ina maana Ma star wa Soka siku hizi sio wengi na ndio maana wamekuwa wakijirudia wale wale tuu?! Zamani ilikuwa sio rahisi kuamua nani achukue Ballon d'Or ila siku hizi watu wanakuwa wameshajua ni nani atachukua!! Ina maana kiwango cha Soka kimepungua siku hizi ukilinganisha na zamani?!
toka waanze hii habari ya kupiga kura hajawahi kushinda mtu tofauti na messi na ronaldo (miaka kama 6 iliopita)
kwa kifupi tuzo za sasa hivi hazina tofauti na siasa mchezaji maarufu ndio anaeshinda na mfano mzuri tunaona 2010 ilikuwa ni vita kati ya iniesta na snedjer ila akashinda messi.
siku hizi washambuliaji wamekuwa overated sana, unakuta mtu anakosa nafasi zaidi ya 200 kwa msimu ila sababu kafunga goli 30 au 40 basi tunamuona bora duniani. na kuna watu wanaokoa nafasi hata 100 wasifungwe ila akifanya uzembe 1 anaonekana flop.
kama kungekuwa na upigaji kura watu kama cannavaro, beckenbeuer na mathias sammer wasingeshinda tuzo za dunia kwa mifumo kama ya siku hizi.
Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid
*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks