mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
We kweli kiande .. mpira hujui kenge wwVvd kafanya nini(individual performance)
Au kwa kuwa Cr7 hana vigezo hutaki mess apate ili waendelee kuwa sawa
We kweli kiande .. mpira hujui kenge ww
Hua najiuliza ingekuaje kama Messi ndiye angekua amecheza hizo ligi tatu na kuperform kama alivyo perform Cr7, aiseh tungepata tabu sana.. Mtu kachukua ballon d'or 5 halafu mtu mwingine anakwambia who is Cr7,, sio lazima wote wawe mashabiki wake lakini sio ndio wamu underestimate kiasi hicho, he deserve credits bila yeye kuleta ushindani hata huyo andunje Messi asingekaza .. Mbona kwenye national timu anambwela wakati ana wachezaji wazuri kumzidi hata Cr7Acha ujinga ww unafananisha vituvisivyoeleweka hatujakwambia uchambue sababu za kutoka timu moja kwenda nyingine hapa ,tumesema mchezaji adhihirishe ubora wake wa kuweza kumaintain kw zaidi ya ligi moja na club tofautitofauti ,,Sasa ulivyo mtu wa ajabu unaleta sababu za kuhama club zinduka hatupo huko tunataka mtu athibitishe uwezo wake yy c kweli talented atoje Barca aende liver au hata psg tumuone afanye maajabu Kama CR7 tuone hii ndo hoja
Ngoja tusubiri aje kutujibu ingawa hata yeye kakataa kua sio team Messi ila indicator zinaonyesha wazi yupo upande wa pili, sema ndio hivyo huwezi kumlazimisha mtu wakati yeye anajifahamu zaidi kuliko sisi.Mkuu sidhani Kama huu jamaa anaweza kukuelewa kwakweli manake n mnazi wa Messi asiye na strong point n mpiga kelele tu wa andunje
Hua najiuliza ingekuaje kama Messi ndiye angekua amecheza hizo ligi tatu na kuperform kama alivyo perform Cr7, aiseh tungepata tabu sana.. Mtu kachukua ballon d'or 5 halafu mtu mwingine anakwambia who is Cr7,, sio lazima wote wawe mashabiki wake lakini sio ndio wamu underestimate kiasi hicho, he deserve credits bila yeye kuleta ushindani hata huyo andunje Messi asingekaza .. Mbona kwenye national timu anambwela wakati ana wachezaji wazuri kumzidi hata Cr7
Basi hii comment sikuiona mimi nime deals na comment nyingi ambazo zime ni quote .. Ila kiuhalisia ni ngumu sana kua mpenzi wa mpira bila kua die hard fan wa mmoja wapo wa hawa watu wawili... Naomba tena uni dadafulie hapo kwenye kiuwezo nashindwa kuelewa umemaanisha nini
Sasa mkuu kuna kitu gani hapo amabacho Cr7 hana hapo tukileta data lazima kuna mmoja atakua juu ya mwenzake (ukitaka ruhusa kuzileta) hawawezi kabisa kulingana 100% naamini kabisa kuna vitu Messi atakua kamzidi Cr7 na vile vile kuna vitu Cr7 atakua kamzidi Messi.. Pia kila mchezaji ana aina yake ya uchezaji sio kisa Messi anacheza aina A,B,C ya mpira basi lazima Cr7 nae acheze aina hiyo hiyo A,B,C kumbuka kua kila kocha na kila timu ina mfumo na faslafa yake kiuchezaji, na ukija personal vilevile kila mchezaji ana aina yake ya kucheza..Uwezo wa kimpira uwanjani mjumuiko wake ni
Assist, Goals, passes, trophies, dribbling, chances creation, football skills na Vision pia
Au wewe unataka tupime uwezo kwa namba maana namba hazidanganyi
Huyo ni lionel messi "lapulga" nambari 10 mgongoni. Mfalme wa soka niliyewahi kumshuhudia akifanya maajabu yake katika soka. Huenda tusione tena wachezaji wenye vipaji asili kama messi, gaucho na wengine baadhi walioweza kufikia hadhi hii ya mfalme wa soka.
Hapa ndio naposhindwa kuwaelewa uwezo gani huo, ambao Cr7 kashindwa au hawezi kumfikia Messi naomba unieleze labda leo naweza kukuelewa unajua mwanzo wakati anaanza career yake Cr7 alikua mchezaji wa aina hio, ila baada ya kwenda Madrid akabadilika kidogo but he can offer same services as Messi, he can assist, he can create chance, he can dribble labda hapo kwenye ku build up the play Cr7 alibadilika kwa sababu alianza ku base kwenye individual achievment na sababu kubwa Barca ilikua fire imekamilika kila idara uki compare na madrid
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani
Andunje kashinda nn sasa
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani
Kwa kifupi hizi tuzo nashauri zisitishwe rasmi ili kumuenzi Messi,maana kuendelea kuziandaa ni kumkosea adabu. YULE MCHEZAJI NI WA AJABU KABISA KUWAHI KUTOKEA KWENYE MPIRA WA MIGUU.
Walivyokutana Andunje na Sharobaro nani alifunga magoli mengi kuliko mwenzie?ronaldo na Messi wamecheza ligi moja mbona messi amemfunika Christina katika kila kitu?Acha unazi ww bwege ronalddo kaweza kudhihirisha uwezo wake kwa zaidi ya ligi 3,huyo kifaranga wenu andunje kabaki na timu moja with challenge zlezle wakati mwenzie kaweza kujidhihirisha kwa ligi nne tofauti tafauti ,,ukiwa unaongea saa zingine angalia unachooongea wewe
Namimi nimesema kwa individual stats 17/18 messi alimzidi ronaldo lakin akapewa modric...Bas angepewa messiHivi umenielewa lakini au just ume reply tu, Point yangu hapo ni kwamba last time 17/18 Cr7 ali deserve kuchukua Ballon D'or lakini akachukua Modric kwa mazingira yale yale aliyochukua Modric ndio yamefanana kwa zaidi ya 90% kwa Vvd, why asichukue yeye achukue Messi, wakati scenario za sasa hivi hazitofautinai na scenario ya last time
Top scorer uefa kumbuka kua alikua Ronaldo, La liga Messi ndio alimzidi Ronaldo yeye alikua na magoli 34 Ronaldo 26.. Ukija achievements Ronaldo alimzidi Messi pakubwa sanaNamimi nimesema kwa individual stats 17/18 messi alimzidi ronaldo lakin akapewa modric...Bas angepewa messi
Hapa ndo madada zake ronaldo mnafeliTop scorer uefa kumbuka kua alikua Ronaldo, La liga Messi ndio alimzidi Ronaldo yeye alikua na magoli 34 Ronaldo 26.. Ukija achievements Ronaldo alimzidi Messi pakubwa sana
Ronaldo alichukua Uefa champions ligi
Club world cup
Uefa super cup
Supercopa de España
Sasa hapo Messi angeanzaje kupewa?.. kwa mfano?