Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Acha ujinga ww unafananisha vituvisivyoeleweka hatujakwambia uchambue sababu za kutoka timu moja kwenda nyingine hapa ,tumesema mchezaji adhihirishe ubora wake wa kuweza kumaintain kw zaidi ya ligi moja na club tofautitofauti ,,Sasa ulivyo mtu wa ajabu unaleta sababu za kuhama club zinduka hatupo huko tunataka mtu athibitishe uwezo wake yy c kweli talented atoje Barca aende liver au hata psg tumuone afanye maajabu Kama CR7 tuone hii ndo hoja
Hua najiuliza ingekuaje kama Messi ndiye angekua amecheza hizo ligi tatu na kuperform kama alivyo perform Cr7, aiseh tungepata tabu sana.. Mtu kachukua ballon d'or 5 halafu mtu mwingine anakwambia who is Cr7,, sio lazima wote wawe mashabiki wake lakini sio ndio wamu underestimate kiasi hicho, he deserve credits bila yeye kuleta ushindani hata huyo andunje Messi asingekaza .. Mbona kwenye national timu anambwela wakati ana wachezaji wazuri kumzidi hata Cr7
 
Mkuu sidhani Kama huu jamaa anaweza kukuelewa kwakweli manake n mnazi wa Messi asiye na strong point n mpiga kelele tu wa andunje
Ngoja tusubiri aje kutujibu ingawa hata yeye kakataa kua sio team Messi ila indicator zinaonyesha wazi yupo upande wa pili, sema ndio hivyo huwezi kumlazimisha mtu wakati yeye anajifahamu zaidi kuliko sisi.
 
Mkuu kwa jinsi inavyoonyesha Messi nje ya Barca hamna kitu ni mweupe balaa maake immaginei ile Argentina iliyosheni kina Aguero,dimaria,Mauro ,dybala Gonzalo , na wengine wa viwango vya juu ,lakn andunje hana lolote alilolifanya labda kufika fainali tu ya 2014 pale Brazil , apart from that nothing Sasa take look kwa CR7 .
na ureno yake vitu alivyovifanya ni tofauti na Messi huko Argentina ,Sasa ndo tunaposema Messi hamna kitu nje ya mfumo wa Barcelona ambao keshauzoea ,atoke pale aende tu liver au inter Milan tumuone afurukute afanye vitu cr7 alivyoweza kufanya
Hua najiuliza ingekuaje kama Messi ndiye angekua amecheza hizo ligi tatu na kuperform kama alivyo perform Cr7, aiseh tungepata tabu sana.. Mtu kachukua ballon d'or 5 halafu mtu mwingine anakwambia who is Cr7,, sio lazima wote wawe mashabiki wake lakini sio ndio wamu underestimate kiasi hicho, he deserve credits bila yeye kuleta ushindani hata huyo andunje Messi asingekaza .. Mbona kwenye national timu anambwela wakati ana wachezaji wazuri kumzidi hata Cr7
 
Basi hii comment sikuiona mimi nime deals na comment nyingi ambazo zime ni quote .. Ila kiuhalisia ni ngumu sana kua mpenzi wa mpira bila kua die hard fan wa mmoja wapo wa hawa watu wawili... Naomba tena uni dadafulie hapo kwenye kiuwezo nashindwa kuelewa umemaanisha nini

Uwezo wa kimpira uwanjani mjumuiko wake ni
Assist, Goals, passes, trophies, dribbling, chances creation, football skills na Vision pia

Au wewe unataka tupime uwezo kwa namba maana namba hazidanganyi
 
Uwezo wa kimpira uwanjani mjumuiko wake ni
Assist, Goals, passes, trophies, dribbling, chances creation, football skills na Vision pia

Au wewe unataka tupime uwezo kwa namba maana namba hazidanganyi
Sasa mkuu kuna kitu gani hapo amabacho Cr7 hana hapo tukileta data lazima kuna mmoja atakua juu ya mwenzake (ukitaka ruhusa kuzileta) hawawezi kabisa kulingana 100% naamini kabisa kuna vitu Messi atakua kamzidi Cr7 na vile vile kuna vitu Cr7 atakua kamzidi Messi.. Pia kila mchezaji ana aina yake ya uchezaji sio kisa Messi anacheza aina A,B,C ya mpira basi lazima Cr7 nae acheze aina hiyo hiyo A,B,C kumbuka kua kila kocha na kila timu ina mfumo na faslafa yake kiuchezaji, na ukija personal vilevile kila mchezaji ana aina yake ya kucheza..

Wakati Cr7 yupo madrid ile barcelona ilikua fire ilikua rahisi sana kumsaidia Messi kufunga tofauti na Cr7, ule utatu MSN ulikua vizuri kuliko BBC kuna wakati Benzema alikua ana flop Bale alikua injuries na hata kabla yao MSN barca ya kipindi cha Xavi na Iniesta walikua hatari sana pale kati, ile barca iliyomtetemesha Fergie mikono ilikua balaa mkuu

Na hii ndio sababu kubwa iliyomlazimu Cr7 a focus na role moja ya kufunga tu kwa sababu ndio njia pekee ambayo ingempa individual achievements ili a compete na Messi lakini hivi vitu
"Assist, Goals, passes, trophies, dribbling, chances creation, football skills na Vision pia" kwa Cr7 ni vitu vidogo sana na inahitaji ujasiri mkubwa kusema Cr7 hana hivi vitu
 
Huyo ni lionel messi "lapulga" nambari 10 mgongoni. Mfalme wa soka niliyewahi kumshuhudia akifanya maajabu yake katika soka. Huenda tusione tena wachezaji wenye vipaji asili kama messi, gaucho na wengine baadhi walioweza kufikia hadhi hii ya mfalme wa soka.
 
Hoja yako n nn Sasa hapa kumshuhudia ama ,,jitahidi kupunguza mihemko ndgu Jenga hoja why Messi and wengine eleza kwa fact na cyo taarabu
Huyo ni lionel messi "lapulga" nambari 10 mgongoni. Mfalme wa soka niliyewahi kumshuhudia akifanya maajabu yake katika soka. Huenda tusione tena wachezaji wenye vipaji asili kama messi, gaucho na wengine baadhi walioweza kufikia hadhi hii ya mfalme wa soka.
 
Bavarian Sio kila mtu atatoa hoja za ubishani kama uelekeo wako ulipo, mimi binafsi naandika maoni yangu, ikikupendeza na wewe utoe maoni yako. Jaribu kueshimu maoni ya watu usifikirie kila mtu ataandika kama vile unavyo hisi wewe ni sawa. Jf ina watu wengi na kila mtu ana akili yake.
 
Unajua Messi atashinda Ballon d'or nyingine? Wewe endelea kushabikia wachezaji badala ya kushabikia vipaji.

Dunia itabaki inakushangaa
Hapa ndio naposhindwa kuwaelewa uwezo gani huo, ambao Cr7 kashindwa au hawezi kumfikia Messi naomba unieleze labda leo naweza kukuelewa unajua mwanzo wakati anaanza career yake Cr7 alikua mchezaji wa aina hio, ila baada ya kwenda Madrid akabadilika kidogo but he can offer same services as Messi, he can assist, he can create chance, he can dribble labda hapo kwenye ku build up the play Cr7 alibadilika kwa sababu alianza ku base kwenye individual achievment na sababu kubwa Barca ilikua fire imekamilika kila idara uki compare na madrid
 
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani

Ingeenda kwa jamaa yako usingelalamika, ila kwa King imekuwa biashara...waswahili mnatabu sana,

Andunje kashinda nn sasa

Ballon d'Ore...kwani kuna tatizo!!
 
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani

Ingeenda kwa jamaa yako usingelalama...ila kwa King imekuwa kosa na kufikia kusema eti kwakuwa ni biashara..unamjuwa Messi wewe!! Kwanza ni dharau haswaa Messi kumfananisha na wachezaji wa sasa na wazamani...
 
Acha unazi ww bwege ronalddo kaweza kudhihirisha uwezo wake kwa zaidi ya ligi 3,huyo kifaranga wenu andunje kabaki na timu moja with challenge zlezle wakati mwenzie kaweza kujidhihirisha kwa ligi nne tofauti tafauti ,,ukiwa unaongea saa zingine angalia unachooongea wewe
Walivyokutana Andunje na Sharobaro nani alifunga magoli mengi kuliko mwenzie?ronaldo na Messi wamecheza ligi moja mbona messi amemfunika Christina katika kila kitu?
 
Hivi umenielewa lakini au just ume reply tu, Point yangu hapo ni kwamba last time 17/18 Cr7 ali deserve kuchukua Ballon D'or lakini akachukua Modric kwa mazingira yale yale aliyochukua Modric ndio yamefanana kwa zaidi ya 90% kwa Vvd, why asichukue yeye achukue Messi, wakati scenario za sasa hivi hazitofautinai na scenario ya last time
Namimi nimesema kwa individual stats 17/18 messi alimzidi ronaldo lakin akapewa modric...Bas angepewa messi
 
Kuwa mwana spoti ni pamoja na kukubali matokeo. Usiwe kama Sumae hutaki kura za hapana
 
Namimi nimesema kwa individual stats 17/18 messi alimzidi ronaldo lakin akapewa modric...Bas angepewa messi
Top scorer uefa kumbuka kua alikua Ronaldo, La liga Messi ndio alimzidi Ronaldo yeye alikua na magoli 34 Ronaldo 26.. Ukija achievements Ronaldo alimzidi Messi pakubwa sana

Ronaldo alichukua Uefa champions ligi
Club world cup
Uefa super cup
Supercopa de España

Sasa hapo Messi angeanzaje kupewa?.. kwa mfano?
 
Hapa ndo madada zake ronaldo mnafeli
Baron Dor ni tuzo ya uwezo binafsi sio tuzo ya nan kashinda makombe mengi...kwahiyo individual kwa strika tunaangalia magol na assists hayo makombe ni vitu secondary sana kuongezea lakn sio kitu basic kwa ajl ya baron Dor...hayo makombe Tim ndo zinapewa tuzo
Kwa kusema hivyo 17/18 messi alimzd ronaldo hata assists
 
Back
Top Bottom