Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yanazidi kunoga mkuuOyaaa mambo yana endaje huko
JelousBarcelona Award
Mambo yanazidi kunoga mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nko back stage mtu wa karbu na mess kanambia tuzo inaenda kwa diamond platnum,
Mchezaji bora wa kike ni Megan Rapinoe wa MarekaniDaah dondosha info mzee
Bado ndio kwanza wanapiga storiBado tu ?
Mchezaji bora wa kike ni Megan Rapinoe wa Marekani
Kubalance mzani tuzo apewe VVD
Hahahahahahahahah Bado nini Mkuu,Tulia unayemtaka ashinde ameshashinda siku nyingi sana kinachofanyika leo ni kama Ze Comedy tu.Bado tu ?
Kubalance mzani tuzo apewe VVD
Kubalansi ndio kitu gani mkuu? Uwezo wako utakupa tuzoKubalance mzani tuzo apewe VVD