ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahiliWametoa tuzo ta mchezaji bora, sio mfungaji bora. Watu mnakuwa wagumu sana kulielewa hili. Haya leta takwimu za Lwandowsk nje ya magoli[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huwezi kuelewa but wanangalia michezo yote hadi ya timu ya taifa he deservesKwa Barcelona hii na ya msimu ulopita zilivyo mbovu,
Sijaelewa hii tuzo ya pedri.
Wametoa tuzo ta mchezaji bora, sio mfungaji bora. Watu mnakuwa wagumu sana kulielewa hili. Haya leta takwimu za Lwandowsk nje ya magoli[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
watanzania mnajitia wajuaji sana na ndo maana mpira hatujui..takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili
Messi amekuwa top scorer wa La Liga, ameshinda Copa America, amekuwa top scorer wa Copa America na MVP wa Copa America. Huyo Lewandowsk ukitoa idadi ya mabao pale Bayern ana mafanikio gani na timu ya taifa?takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili
Tatizo unatanguliza mahaba yako kwa wachezaji.. Kumbuka ni watu wamepiga kura, sasa sijui wao wameshikiwa bunduki na Messi kwamba yeye ni bora?Tuzo za sasa zimekuwa kama kili award za hapa kwetu.
Uzito umepungua na mvuto umepotea, yule kipa mtaliano anamzidi nini benjamini mendy?
Bora messi kidogo ,ingawa nae hakustahili,nadhani tuzo zipo kibiashara zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee umesema 2018 alichukua nani?Tuzo ya mchongo
Kwanza huwa sina imani na muandaaji wa hizi tuzo Pascal Ferres, tangu ile day robbery ya 2018 Baloon d'or kupewa Messi wakati akiwa amezidiwa kila kitu na Cristiano Ronaldo
He always use Cristiano Ronaldo name to his Baloon d'or business and tell lies to the people. Firstly he said, Ronaldo confined to Ferres that He had the sole Ambition to win more Baloon d'or than Messi to end his carrier and that is totally not true.
Secondly he lied again yesterday justifying the absence of Cristiano Ronaldo in the Galla with an alleged quarantine that has no reason to be
In my book, Baloon d'or winner in 2020 and 2021 is Robert Lewandowski
2019. Typing error[emoji23][emoji23][emoji23] mzee umesema 2018 alichukua nani?