kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ronaldo apunguze kutiana ili arudi kwenye eneo la ushindani mesi atabeba Mara kumi na mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waokoe michomo tu watapewa hii tuzo. Ingawa sio rahisi.sasa Mkuu hivi kwa vigezo hivi itakuja kutokea kweli golikipa akachukua hiyo tuzo ?. Maana naona vigezo karibia vyote ni vya mchezaji wa ndani .
1. Pass accuracy
2. Goal created
3. Dribbling
4. Goals
5. Tacklings
6. Shoots on target
7.goal assist.
Sasa kwa vigezo hivyo kuna golikipa atakuja kubeba hiyo tuzo?