Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Ronaldo apunguze kutiana ili arudi kwenye eneo la ushindani mesi atabeba Mara kumi na mbili
 
sasa Mkuu hivi kwa vigezo hivi itakuja kutokea kweli golikipa akachukua hiyo tuzo ?. Maana naona vigezo karibia vyote ni vya mchezaji wa ndani .
1. Pass accuracy
2. Goal created
3. Dribbling
4. Goals
5. Tacklings
6. Shoots on target
7.goal assist.
Sasa kwa vigezo hivyo kuna golikipa atakuja kubeba hiyo tuzo?
Waokoe michomo tu watapewa hii tuzo. Ingawa sio rahisi.

Wafanye vitu viwe vya kipekee mno mechi moja hadi nyingine.
 
Back
Top Bottom