Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sidhani maana world cup inaisha December.Inasubiri world cup hiyo.
Inasubiri world cup hiyo.
Jamaa namkubali sana. Mchezaji mpole na mwenye kujituma sana.Basi humble boy Mane
Kanuni ilibadilishwa hivyo world cup itakuwa kwa ballon d'or ya 2023.Tusubiri world cup mkuu
Hapo lazima kdb apewe ikiwa hivyo.City tukichukua CL ,epl na fa ....basi kDB anachukua
Anaonesha dalili...Benzeeeema anaenda kubeba.
Akaze Madrid wabebe ucl.Benzema 4 Balon d'Or
Umeanza kuleta udini usio na sababu.Vingine leta ushahidi wa huu uzwazwa wako.Yaani wazungu wawape waislam hyo tuzo kweli ya dunia huyajui ww ngoja uone watakavyo badili gia angani za vigezo wakiona benzema au salah anakaribia kuchukua huo ufungaji bora tu yule son anaweza akapewa penalty mpaka akamfikia Salah .
Mimi pia nitafurahia hili likitokea. Mane amekuwa mchezaji mzuri kwa miaka mingi.Ikitokea Liverpool Ameshinda Epl Na Uefa Basi Sadio Mane Kwangu Atafaa.