Ballon d'or 2022 itaenda kwa Benzema au DeBruyne au Salah

Yaani wazungu wawape waislam hyo tuzo kweli ya dunia huyajui ww ngoja uone watakavyo badili gia angani za vigezo wakiona benzema au salah anakaribia kuchukua huo ufungaji bora tu yule son anaweza akapewa penalty mpaka akamfikia Salah .
[emoji706]
 
Hizi ni hisia zako tu.
 
Acha masihara mkuu. Mambo ya dini yaweke pembeni.
 
Back
Top Bottom