Duuhsio top scorerALvarez for the Balloon D or
Duuhsio top scorer
Anasugua benchi
Heei hata Halaand
Kwahio balon. Dior ina base na WC mbona iniesta hakupataLeta stats za WC
Haaland kupata Balon d'or ngumu ,Why? Msimu huu Kigezo Cha kwanza kupewa Balon d'or ni WORLD CUP( Hakuna trophy Kubwa Duniani kuliko hii) ,performance ya mchezaji kwenye WC ina influence kwa kiasi kikubwa kupata WC .Mfano 2018 Modric alipewa Balon d'or licha ya kuwa Messi alikuwa Mfungaji bora Ulaya (European Golden boot).Kuwa Best player World cup ndio iliyombeba Modric.Treble kwa haaland na mfungaji bora wa EPl,FA akikosq balon d'or akaoge maji ya chumvi
Kwahio balon. Dior ina base na WC mbona iniesta hakupata
Haaland kupata Balon d'or ngumu ,Why? Msimu huu Kigezo Cha kwanza kupewa Balon d'or ni WORLD CUP( Hakuna trophy Kubwa Duniani kuliko hii) ,performance ya mchezaji kwenye WC ina influence kwa kiasi kikubwa kupata WC .Mfano 2018 Modric alipewa Balon d'or licha ya kuwa Messi alikuwa Mfungaji bora Ulaya (European Golden boot).Kuwa Best player World cup ndio iliyombeba Modric.
Haaland amefunga magoli mengi msimu huu kwenye league. Hata UEFA ameongoza magoli lakini haja influence kwa kiasi kikubwa performance ya Man City UEFA hasa kwenye BIG MATCHES ndo maana BEST PLAYER OF THE SEASON UEFA amepewa RODRI.
Benzema mwaka jana aliongoza magoli UEFA na ndo alikuwa BEST PLAYER OF THE SEASON ndio maana ikawa easy kwake kipewa Balon d'or.
HaswaaaahKDB au Alvarez
Julian Alvarez amekuwa na wakati mzuri sana akiwa na Mancity pamoja na Argentina. Kwenye kombe la Dunia aliweza pachika goli 4 na kushinda Kombe la Dunia. Kama atashinda Uefa Alverez atakua na Advantage ya WC. Kura yangu nampa Alvarez, Haaland nje na Club hana mafanikio na Timu ya Taifa.
Lautaro Martinez licha ya kuwa na wakati mbaya kwenye Worldcup ila ana advantage ya kupewa tuzo kama atashinda Uefa Champions league. Ameisaidia sana Inter mpaka kutinga Final ya Uefa 2023, kama inter atachukua ubingwa bhas Martinez anastahili kupewa tuzo hii.
Alvarez au Martinez naona ni chaguo sahihi ya kupewa tuzo ya Ballon D’or 2023 na sio nje ya hapo.