Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #41
Waahilishe tu, hakuna anaestahili.
Alvarez, Haaland, Debruyne, Messi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waahilishe tu, hakuna anaestahili.
Leta stats zahuyo alvarez tuone mchango wako hii tuzo niyamtu binafsi sio kisa upo kwenye tim ilobeba ubingwa ndio eti upewe , akipewa bhas balloon d'or itapoteza mvuto mno.... Kuondoka hawa goat cr7 na m10 kwenye soka hii tuzo inaenda kukosa mvuto mana hata akina saka watapewaHata mimi naona kabisa Alvarez ndio anastahili kubeba kama atabeba UEFA. Kama watampa Messi basi itakua ni ukatili mwingine wa soka baada ya ule dhidi ya Sneijder. Kama mwaka jana Benzema alibeba kwasababu ya kubeba LaLiga na UCL basi hata mwaka huu Alvarez anaweza kubeba
Haaland
Kwamba wewe na akili zako hujajua hizi tuzo zlitengenezwa kwa watu wawili kwa miaka ya karibuni
Nmesema kipindi cha karibuniHata akina zidane, Ronaldo, Ronaldinho walichukua kipindi cha kina Messi??
Hana records za WC
Rekodi za world cup ndio kitu gani?
2010 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2014 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2018 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
au kwa vile ni messi aliyeshinda 2022 ndio kwa yeye tu awe anastahiki ? na je akina Xavi, iniesta, Kroos, Neur, Mbappe, Griezmann wao hawakustahiki?
KDB anastahili jamaniiii
Messi ana Golden ball, na fifa the best Inno na ni WC winner .Balloon dor atapewa tu!Rekodi za world cup ndio kitu gani?
2010 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2014 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2018 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
au kwa vile ni messi aliyeshinda 2022 ndio kwa yeye tu awe anastahiki ? na je akina Xavi, iniesta, Kroos, Neur, Mbappe, Griezmann wao hawakustahiki?
Messi ana Golden ball, na fifa the best Inno na ni WC winner .Balloon dor atapewa tu!
Sahau kuhusu Halaand kuchukua D’or, mchezaji bora wa mashindano UEFA kapewa Rodri.
Best player World cupGolden Ball ya kitu gani?
Best player World cup
Naon hujanielewa Messi alikuwa mchezaji bora wa WC ambae anapewa Golden ball award au hujui hili??aliyekwambia Best Player wa world cup anapewa Golden Ball nani?
Hiyo aliyoshika mkono wa kushoto ndio Golden ballaliyekwambia Best Player wa world cup anapewa Golden Ball nani?
Leta stats zahuyo alvarez tuone mchango wako hii tuzo niyamtu binafsi sio kisa upo kwenye tim ilobeba ubingwa ndio eti upewe , akipewa bhas balloon d'or itapoteza mvuto mno.... Kuondoka hawa goat cr7 na m10 kwenye soka hii tuzo inaenda kukosa mvuto mana hata akina saka watapewa
KDB au Alvarez