Ballon D’or ni kati ya Alvarez na Martineź

Ballon D’or ni kati ya Alvarez na Martineź

Hata mimi naona kabisa Alvarez ndio anastahili kubeba kama atabeba UEFA. Kama watampa Messi basi itakua ni ukatili mwingine wa soka baada ya ule dhidi ya Sneijder. Kama mwaka jana Benzema alibeba kwasababu ya kubeba LaLiga na UCL basi hata mwaka huu Alvarez anaweza kubeba
Leta stats zahuyo alvarez tuone mchango wako hii tuzo niyamtu binafsi sio kisa upo kwenye tim ilobeba ubingwa ndio eti upewe , akipewa bhas balloon d'or itapoteza mvuto mno.... Kuondoka hawa goat cr7 na m10 kwenye soka hii tuzo inaenda kukosa mvuto mana hata akina saka watapewa
 
Kwamba wewe na akili zako hujajua hizi tuzo zlitengenezwa kwa watu wawili kwa miaka ya karibuni
 
Hana records za WC

Rekodi za world cup ndio kitu gani?

2010 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2014 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2018 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?

au kwa vile ni messi aliyeshinda 2022 ndio kwa yeye tu awe anastahiki ? na je akina Xavi, iniesta, Kroos, Neur, Mbappe, Griezmann wao hawakustahiki?
 
Sahau kuhusu Halaand kuchukua D’or, mchezaji bora wa mashindano UEFA kapewa Rodri.
 
Rekodi za world cup ndio kitu gani?

2010 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2014 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?
2018 nani mwenye rekodi alibeba tunzo?

au kwa vile ni messi aliyeshinda 2022 ndio kwa yeye tu awe anastahiki ? na je akina Xavi, iniesta, Kroos, Neur, Mbappe, Griezmann wao hawakustahiki?
Messi ana Golden ball, na fifa the best Inno na ni WC winner .Balloon dor atapewa tu!
 
aliyekwambia Best Player wa world cup anapewa Golden Ball nani?
Hiyo aliyoshika mkono wa kushoto ndio Golden ball
20230611_233818.jpg
 
Leta stats zahuyo alvarez tuone mchango wako hii tuzo niyamtu binafsi sio kisa upo kwenye tim ilobeba ubingwa ndio eti upewe , akipewa bhas balloon d'or itapoteza mvuto mno.... Kuondoka hawa goat cr7 na m10 kwenye soka hii tuzo inaenda kukosa mvuto mana hata akina saka watapewa

Saka mbona yupo poa tu mzee[emoji23] ila kumpa ballon d or alvarez huko ni kuchanganyikiwa kabisa kwa lipi? Yaani sub player achukue ballon d or , hata ki stats tu mbappe ana chance kubwa kuliko hata huyo alvarez . Lautaro huyu ambaye hata world cup alikuwa anazurura tu na juzi ndo kachoma wenzake kabisa!!!

Ballon d or hawa wanastahili kuliko Lautaro na mwanae alvarez Halland, mbappe,de bruyne,na messi !!
Uwezekano wa kumpa messi ni mkubwa maybe it will be his last ballon d or and the end of messi era.
KDB akipewa hii tunzo it will be well deserved!! na hakuna atakayelalamika why amepewa KDB maana ukiangalia messi and ronaldo era imeishaaa!!!
 
Back
Top Bottom