Kwanini wapewe hao?
Kwa vigezo vipi?hizo tuzo zimepoteza maana..wampe sterling au salah
Kweli mkuuIli kutoa huu ubishi inabidi Messi apewe tuzo ya uanamichezo bora wa muda woote tangu dunia kuumbwa.
Halafu hao wachezaji wengine ndio wawe wanashindania hizo ballon d or..
Maana ni dharau kumshindanisha messi na salah au mane au stering
Jana tume washikisha watu adabuHakuna wa kumzuia Messi, hata kama isipobeba uefa.
Well said ..agiza pepsi naja kulipaIli kutoa huu ubishi inabidi Messi apewe tuzo ya uanamichezo bora wa muda woote tangu dunia kuumbwa.
Halafu hao wachezaji wengine ndio wawe wanashindania hizo ballon d or..
Maana ni dharau kumshindanisha messi na salah au mane au stering
Jana tume washikisha watu adabu
Ili kutoa huu ubishi inabidi Messi apewe tuzo ya uanamichezo bora wa muda woote tangu dunia kuumbwa.
Halafu hao wachezaji wengine ndio wawe wanashindania hizo ballon d or..
Maana ni dharau kumshindanisha messi na salah au mane au stering
Asante mkuu ..... nimeipitia hiyo link ni hatari ....Kamanda wangu Hearly, umepotea sana ndugu yangu...since mwezi june hukuonekana humu...nashkuru Mungu tumeonana wazima!
Hawa bwana akili zao zote zilikuwa kwa Messi tu na hawakufanikisha kwa hilo, hawajui kuwa Messi hakabiki!! Wameshindwa akina Ramos, Roberto carlos, Paulo Maldini, Fabio cannavaro, Nesta, Rio ferdinand ambao wamemkaba since kijana mpaka wamezeheka lakini hawakuweza...huyu mtoto wa msimu mmoja ndio aweze kumkaba huyu kiumbe!!!!
Ushauri wangu tu, huyu jamaa wangemtengenezea combine ya mabeki kutoka ligi 5 kubwa duniani labda wanaweza kujitahidi kumkaba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117]
Hicho ni kipande kidogo tu....Roberto Carlos, Nesta, maldini na Fabio canavaro alivyowafanya 😀😀
Asante mkuu ..... nimeipitia hiyo link ni hatari ....
Chief nimekuwa busy Sana ...so nakosa muda wa kuvinjari vyema humu
Umemaliza kila kitu mkuuHalina ubishi Messi anachukua Ballon d'or kweupe kabisa
Anaongoza kwa magoli UCL & La liga na EUROPE kwa ujumla
Pia anaonģoza wa assist
Mbali kabisa team yake weekend hii inabeba ndoo ya La liga
Anasubiri fainali ya Copa del rey na uwezekana mkubwa kuchukua
Ucl bila shaka inaenda Barca pia
Treble hiyo sasa kwanini asichukue Ballon d'or na Golden Boot ya 6
Te teh tehHakuna wa kumzuia Messi, hata kama isipobeba uefa.
Mahaba ya anayetoa hiyo tuzo kumsujudu Messi kama mungu mtu
Kwahiyo ni mtu mmoja tu neo anapiga kura ya kumpata mshindi wa Ballon d'Or?Mahaba ya anayetoa hiyo tuzo kumsujudu Messi kama mungu mtu