Ballon d'Or ni ya Messi,au kuna mwingine?

Ili kutoa huu ubishi inabidi Messi apewe tuzo ya uanamichezo bora wa muda woote tangu dunia kuumbwa.
Halafu hao wachezaji wengine ndio wawe wanashindania hizo ballon d or..
Maana ni dharau kumshindanisha messi na salah au mane au stering
Kweli mkuu
 
Jana tume washikisha watu adabu

Kamanda wangu Hearly, umepotea sana ndugu yangu...since mwezi june hukuonekana humu...nashkuru Mungu tumeonana wazima!

Hawa bwana akili zao zote zilikuwa kwa Messi tu na hawakufanikisha kwa hilo, hawajui kuwa Messi hakabiki!! Wameshindwa akina Ramos, Roberto carlos, Paulo Maldini, Fabio cannavaro, Nesta, Rio ferdinand ambao wamemkaba since kijana mpaka wamezeheka lakini hawakuweza...huyu mtoto wa msimu mmoja ndio aweze kumkaba huyu kiumbe!!!!

Ushauri wangu tu, huyu jamaa wangemtengenezea combine ya mabeki kutoka ligi 5 kubwa duniani labda wanaweza kujitahidi kumkaba 😂😂😂

👉

Hicho ni kipande kidogo tu....Roberto Carlos, Nesta, maldini na Fabio canavaro alivyowafanya 😀😀
 
Ili kutoa huu ubishi inabidi Messi apewe tuzo ya uanamichezo bora wa muda woote tangu dunia kuumbwa.
Halafu hao wachezaji wengine ndio wawe wanashindania hizo ballon d or..
Maana ni dharau kumshindanisha messi na salah au mane au stering

Fact kabisa, wewe ndie unajuwa mpira bwana....big up!
 
Kamanda wangu Hearly, umepotea sana ndugu yangu...since mwezi june hukuonekana humu...nashkuru Mungu tumeonana wazima!

Hawa bwana akili zao zote zilikuwa kwa Messi tu na hawakufanikisha kwa hilo, hawajui kuwa Messi hakabiki!! Wameshindwa akina Ramos, Roberto carlos, Paulo Maldini, Fabio cannavaro, Nesta, Rio ferdinand ambao wamemkaba since kijana mpaka wamezeheka lakini hawakuweza...huyu mtoto wa msimu mmoja ndio aweze kumkaba huyu kiumbe!!!!

Ushauri wangu tu, huyu jamaa wangemtengenezea combine ya mabeki kutoka ligi 5 kubwa duniani labda wanaweza kujitahidi kumkaba [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117]

Hicho ni kipande kidogo tu....Roberto Carlos, Nesta, maldini na Fabio canavaro alivyowafanya 😀😀
Asante mkuu ..... nimeipitia hiyo link ni hatari ....

Chief nimekuwa busy Sana ...so nakosa muda wa kuvinjari vyema humu
 
Halina ubishi Messi anachukua Ballon d'or kweupe kabisa

Anaongoza kwa magoli UCL & La liga na EUROPE kwa ujumla

Pia anaonģoza wa assist

Mbali kabisa team yake weekend hii inabeba ndoo ya La liga

Anasubiri fainali ya Copa del rey na uwezekana mkubwa kuchukua

Ucl bila shaka inaenda Barca pia

Treble hiyo sasa kwanini asichukue Ballon d'or na Golden Boot ya 6
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom