Aisee Mbeya viatu vikali sana mzee af bei kitonga sanaviatu vya mbeya na ata mitumba ya nguo ya mbeya zote zinatoka dar.
Ila kinachofanyika wafanyabiashara weng wa mbeya wenye mitaji mikubwa wanasgiza direct China alaf haifunguliwi inaenda kufunguliwa mbeya so ujanja ujanja haiwi mkubwa sana ndio maana bado unakutana na vitu vizur kwa bei ndogo.
Dar balo linafunguliwa ikifika alaf muuzaji nae anachambua zake kwa washkaji wake ndio uje wewe lazma ukutane na lonya lonya. ila ata mbeya wanachambua kwanza ila haipiti kwenye mikono ya wengi.
Ina maana humu hakuna wauza viatu kutoka mbeya watuoneshe hata pichaAisee Mbeya viatu vikali sana mzee af bei kitonga sana
Naomba connection ya UgandaUganda,tupeane connection kaka
Naomba connection ya huyo jamaaKuna rafiki yangu ni mghana anastore yake maeneo ya karikaoo karibu kabisa na ilala niko tayari kukuelekeza uende mwenyewe
Kama unaanza biashara, huyo jamaa wa Mwanza amekupa ushauri mzuri kwa kuwa atakuuzia viatu ambavyo ni chaguo lako.Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu
Jamaa mmoja akaniambia kufungulisha baloo grade 1 unatakiwa uchague pea zisizo pungua 30 na kila pea moja ataniuzia 12,000/pea
Ukichukua 30*12,000=360,000/=
Nikaona isiwe tabu nikaja kwa mshikaji wangu anauza Viatu pia nikaomba ushauri alichonijibu nikashangaa Sana
Mshikaji akaniambia ni bora ninunue robota ambalo ni shilingi 400,000/= na zinakaa pea kuanzia 50-55 ukizigawa 400,000/50=8000 sasa ukilinganisha bei ya yule mshikaji wa kufungulisha tayari kanipiga 4000 kwa kila pea na hapo ndo nikamkumbuka mentor wangu CONTROLA kwenye somo lake la kumkwepa Mtu wa kati aka dalali
Hapo kwenye robota lenye pea 50 Ukiondoa pea 30 ambazo utafungulisha zimebaki pea 20 ambazo kwenye laki 400,000-360,000=40,000 je hizo pea 20 akiuza 5000*20=100,000 kweli mjini ukiingia kichwa kichwa unanyolewa bila maji
Kila la kheri mkuu Jitahidi kufanya research kwanza ujiridhishe ndo ununue mzigo
Cheers
Kaka naomb namb yakoUkitaka kazi za uhakikika zinapatikana ng'ambo ya bahari😄
View attachment 1891515