Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo hoja ya msingi sana!!messi is pure talent na ronaldo is hardwork pays!
Cr7 kaiwezesha Madrid kuchukua kombe la UCL mara 3 mfululizo, lakini watu waliona kawaida tuuSioni ubaya kuwakewa katika order wote ni wachezaji wa kipekee 1.Messi 2.Ronaldo na muda wowote nafasi inachange kulingana na perfomance zao.
Alikuwa wapi miaka mitatu mfululizo wakati #7 akifanya yake?????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi ni mshabiki Wa damu Wa Man U ila kwa mateso tuliyoyapata toka kwa Messi imebidi mwanangu nimpe jina Lionel huyo mchezaji ni unplayable!
Inabidi nimpe tu,mateso alotupa ni makubwa sanaBado hilo jina utampa mwanao Chifu[emoji848][emoji28]
Pole sana kwa ulichofanyiwa na Andunje wako Messi pale Anfield Chifu[emoji87]Nonsense. Hizo team za league nyingine zote zina yajua makali ya messi ..maana wanachanwa kila waki kutana UCL na miguu ya messi kama wembe ..... so unataka akacheze katika league ambayo sio hadhi yake ......
Yaani unataka bakhresa akaishi tandale sindio !?
Inabidi nimpe tu,mateso alotupa ni makubwa sana
Beki bora jana imemuweka mfukoniMm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?
Origi anamtoshaWakati mtanange wa Jana wa Barcelona na Liverpool ukiendelea huku Messi aking'aa mchezaji mtukuku Maria Baloteli kupitia Instagram alipost alisema " kwa mapenzi ya Mungu naomba msimfananishe tena Messi na yule mchezaji namba 7 wa juvestus".
View attachment 1086136
Bebwalona!Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]