Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

Alikuwa wapi miaka mitatu mfululizo wakati #7 akifanya yake?????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sioni ubaya kuwakewa katika order wote ni wachezaji wa kipekee 1.Messi 2.Ronaldo na muda wowote nafasi inachange kulingana na perfomance zao.
Cr7 kaiwezesha Madrid kuchukua kombe la UCL mara 3 mfululizo, lakini watu waliona kawaida tuu
Leo Messi kafanya vizuri watu wanambeza Ronaldo
Tufike hatua tukubali kwamba hawa wawili wapo kwenye kilele cha ubora
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Pole sana kwa ulichofanyiwa na Andunje wako Messi pale Anfield Chifu[emoji87]
 
Mm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?
Beki bora jana imemuweka mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…