Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huyo aliyewekwa ashachukua form na kuijaza, huoni hapo ni kujichanganya?
Mbona ameshakujibu? Ina maana umeshindwa kuelewa anachomaanisha? Kwamba pale Muheza pamoja na CDM kuweka mgombea lakini si mgombea wala Chadema wenye nguvu au ushawishi na hivyo Chadema wanahitaji mtu mwenye vyote, nguvu na ushawishi.