Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mbona ameshakujibu? Ina maana umeshindwa kuelewa anachomaanisha? Kwamba pale Muheza pamoja na CDM kuweka mgombea lakini si mgombea wala Chadema wenye nguvu au ushawishi na hivyo Chadema wanahitaji mtu mwenye vyote, nguvu na ushawishi.
Hakika wakati wanapokuwa ndani huko wanaona kuwa wataendelea kuwa huko huko pamoja bila shida yoyote.Na hao kina Adadi Rajab wamo katika mfumo huu uliokamdamiza haki. Wametumiwa sana na serikali na CCM kukandamiza haki. Wakifikiri watakuwa juu tu kila siku.
Na sasa imekula kwao.
The chicken coming home to roost.
Mkuki mtamu kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu.
Kwa hiyo zile story za CCM imechokwa ni propaganda.Mbona ameshakujibu? Ina maana umeshindwa kuelewa anachomaanisha? Kwamba pale Muheza pamoja na CDM kuweka mgombea lakini si mgombea wala Chadema wenye nguvu au ushawishi na hivyo Chadema wanahitaji mtu mwenye vyote, nguvu na ushawishi.
Kwanini asijiajiri wakati mtaji anao kile kiinua mgongo cha ubunge? Hivi watanzania mna nini? Kwanini wenye nacho wasitoe fursa kwa wengine?Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Hivi anaweza kuwa na ushawishi kuzidi aliokuwanao Lowassa?Simdharau, ushawishi wake hauingii kwa Adadi kama kutaka kiti kiende upinzani asubuhi na mapema! Muheza na Adad ni kama wewe na Jiwe. kama usivyoambiwa chochote kuhusu Jiwe na Muheza hivyo hivyo kwa Adad
Hata uchokwe vipi lazima utakua na Ngome/die harders au nguvu iliyotumika awali dhidi yako lakini kadili muda uendavyo nguvu hiyo inapunguzwa sababu ya kulega kwa uimara wako.Kwa hiyo zile story za CCM imechokwa ni propaganda.
Labda muheza ingine, sio nayoijua mm,Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Hili zee lina visasi aiseee! Sijapata kuona!Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!
Huyu mwamba aliwaki kuwa OC CID somewhere ndani ya jeshi la Polisi?Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!