Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamwita wa kuja...wakupitaDongo kwa Mwinyi.
anabweka bweka tu inafahamiki bayana Balozi Ali si kiongozi mwandamizi wa CCM lakini si mwanachama wa CCM...Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”.
Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa CCM, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni ukiukaji wa maadili na misingi ya chama kwa kumkosoa hadharani Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi.
Uamuzi wa kumfukuza uanachama ulitolewa Juni 8, 2023 saa 9:00 usiku na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja, chini ya Katibu wa Mkoa huo, Amina Mnacho
Hatua hiyo ilifikiwa zikiwa zimepita siku 23 tu tangu Balozi Karume alipopewa barua ya onyo Juni 15, 2023 kabla ya kuibuka tena akisisitiza kauli zake kwamba hakuna demokrasia ndani ya CCM.
Kabla ya hatua hiyo, Karume alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM tawi la Mwera, akahojiwa na kamati ya maadili ya CCM Jimbo la Tunguu na alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM Wilaya ya Kati na kupewa barua ya onyo, akiwekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu.
Mwananchi limefanya mahojiano maalumu na Balozi Karume nyumbani kwake Maisara na amezungumzia mambo mbalimbali, ikiwemo hatima ya uanachama wake wa CCM, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na ushauri wake kwa Rais Mwinyi.
Akizungumzia uanachama wake, Balozi Karume anasema yeye ni mwanachama halali wa CCM na hakuna mtu wa kumfukuza katika chama hicho kwa sababu yeye ni miongoni mwa waasisi wake.
Anasema aliwaeleza kuwa utaratibu uliotumika kumfukuza kwenye chama hautambuliki.
“Mtu anafukuzwa kwenye chama kwa kuandikiwa barua na kuambiwa ‘rejesha kadi yetu’, lakini siyo kutangaza kwenye vyombo vya habari. Mimi sijawahi kupata barua na kadi yangu ninayo,” anasema Balozi Karume.
Anasisitiza kwamba: “Mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi, siwezi kufukuzwa kwa utaratibu huo.”
Mwanadiplomasia huyo anasema chama hicho kina wanachama wa aina mbili, wanachama waasisi na wadandia reli, hivyo yeye kama mwasisi, hawezi kufukuzwa na mdandia reli.
“Mdandia reli hawezi kunifukuza kwenye chama kwa sababu mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi.
“Wakati tunaunda chama hiki kutoka Afro Shiraz (ASP) kwenda CCM, wanaotaka kunifukuza walikuwa na umri wa miaka 10 na mwezi mmoja, sasa atakuja vipi kunifukuza chama?” anahoji Balozi Karume.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma
Mbona unagwaya kukisema alichokisema au unataka usaidiwe, ninakusaidia kwa sababu linaukweli ndani yake, "CCM haijawahi kushinda uchaguzi mkuu Zanzibar", mwisho wa kumnukuu.Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”.
Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa CCM, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni ukiukaji wa maadili na misingi ya chama kwa kumkosoa hadharani Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi.
Uamuzi wa kumfukuza uanachama ulitolewa Juni 8, 2023 saa 9:00 usiku na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja, chini ya Katibu wa Mkoa huo, Amina Mnacho
Hatua hiyo ilifikiwa zikiwa zimepita siku 23 tu tangu Balozi Karume alipopewa barua ya onyo Juni 15, 2023 kabla ya kuibuka tena akisisitiza kauli zake kwamba hakuna demokrasia ndani ya CCM.
Kabla ya hatua hiyo, Karume alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM tawi la Mwera, akahojiwa na kamati ya maadili ya CCM Jimbo la Tunguu na alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM Wilaya ya Kati na kupewa barua ya onyo, akiwekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu.
Mwananchi limefanya mahojiano maalumu na Balozi Karume nyumbani kwake Maisara na amezungumzia mambo mbalimbali, ikiwemo hatima ya uanachama wake wa CCM, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na ushauri wake kwa Rais Mwinyi.
Akizungumzia uanachama wake, Balozi Karume anasema yeye ni mwanachama halali wa CCM na hakuna mtu wa kumfukuza katika chama hicho kwa sababu yeye ni miongoni mwa waasisi wake.
Anasema aliwaeleza kuwa utaratibu uliotumika kumfukuza kwenye chama hautambuliki.
“Mtu anafukuzwa kwenye chama kwa kuandikiwa barua na kuambiwa ‘rejesha kadi yetu’, lakini siyo kutangaza kwenye vyombo vya habari. Mimi sijawahi kupata barua na kadi yangu ninayo,” anasema Balozi Karume.
Anasisitiza kwamba: “Mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi, siwezi kufukuzwa kwa utaratibu huo.”
Mwanadiplomasia huyo anasema chama hicho kina wanachama wa aina mbili, wanachama waasisi na wadandia reli, hivyo yeye kama mwasisi, hawezi kufukuzwa na mdandia reli.
“Mdandia reli hawezi kunifukuza kwenye chama kwa sababu mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi.
“Wakati tunaunda chama hiki kutoka Afro Shiraz (ASP) kwenda CCM, wanaotaka kunifukuza walikuwa na umri wa miaka 10 na mwezi mmoja, sasa atakuja vipi kunifukuza chama?” anahoji Balozi Karume.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma
Akiongea hayo huko unapotaka akaropoke mtamwita mropokaji na kumjibu kwa kejeri nyingi. Kwa kulikiri na kulisema hilo akiwa hapo alipo hoja yake inapata nguvu nyingi.Aende ACT au CUF akaropokee huko!
Ni kweli ila sio kwa mwenyekiti hasa anapokuwa na cheo cha urais.Balozi Karume anajifurahisha tuu, CCM haina uanachama wa aina mbili, wala mtu kuwa muasisi wa CCM sio kinga ya kutokufukuzwa CCM unapo kiuka maadili.
Alifukuzwa muasisi wa ASP, muasisi na mshiriki wa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya 1964 na mjumbe wa Baraza la Mapinduzi, Hassan Nassor Moyo, itakuwa yeye wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar akikuwa kinda, na Baba yake Mzee Abedi aliyatoroka Mapinduzi yeye na wanaye Amani na Ali.
Mtu yeyote awaye yote anaweza kufukuzwa CCM!.
P
Hawa wanaona nchi kama wao pekee ndiyo wana hati miliki nayoAu sio?
Ova
Ubaya Ubwela tu...😀😃😄😁😆😅😂🤣Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”.
Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa CCM, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni ukiukaji wa maadili na misingi ya chama kwa kumkosoa hadharani Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi.
Uamuzi wa kumfukuza uanachama ulitolewa Juni 8, 2023 saa 9:00 usiku na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja, chini ya Katibu wa Mkoa huo, Amina Mnacho
Hatua hiyo ilifikiwa zikiwa zimepita siku 23 tu tangu Balozi Karume alipopewa barua ya onyo Juni 15, 2023 kabla ya kuibuka tena akisisitiza kauli zake kwamba hakuna demokrasia ndani ya CCM.
Kabla ya hatua hiyo, Karume alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM tawi la Mwera, akahojiwa na kamati ya maadili ya CCM Jimbo la Tunguu na alihojiwa na kamati ya maadili ya CCM Wilaya ya Kati na kupewa barua ya onyo, akiwekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu.
Mwananchi limefanya mahojiano maalumu na Balozi Karume nyumbani kwake Maisara na amezungumzia mambo mbalimbali, ikiwemo hatima ya uanachama wake wa CCM, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na ushauri wake kwa Rais Mwinyi.
Akizungumzia uanachama wake, Balozi Karume anasema yeye ni mwanachama halali wa CCM na hakuna mtu wa kumfukuza katika chama hicho kwa sababu yeye ni miongoni mwa waasisi wake.
Anasema aliwaeleza kuwa utaratibu uliotumika kumfukuza kwenye chama hautambuliki.
“Mtu anafukuzwa kwenye chama kwa kuandikiwa barua na kuambiwa ‘rejesha kadi yetu’, lakini siyo kutangaza kwenye vyombo vya habari. Mimi sijawahi kupata barua na kadi yangu ninayo,” anasema Balozi Karume.
Anasisitiza kwamba: “Mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi, siwezi kufukuzwa kwa utaratibu huo.”
Mwanadiplomasia huyo anasema chama hicho kina wanachama wa aina mbili, wanachama waasisi na wadandia reli, hivyo yeye kama mwasisi, hawezi kufukuzwa na mdandia reli.
“Mdandia reli hawezi kunifukuza kwenye chama kwa sababu mimi ni mwasisi wa Chama cha Mapinduzi.
“Wakati tunaunda chama hiki kutoka Afro Shiraz (ASP) kwenda CCM, wanaotaka kunifukuza walikuwa na umri wa miaka 10 na mwezi mmoja, sasa atakuja vipi kunifukuza chama?” anahoji Balozi Karume.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma
Hii nchi ina matatizo.Anamwita wa kuja...wakupita
Mkuu tuna Imani na ww Jimbo la kigamboni njoo utie nia ...kura yangu uhakikaBalozi Karume anajifurahisha tuu, CCM haina uanachama wa aina mbili, wala mtu kuwa muasisi wa CCM sio kinga ya kutokufukuzwa CCM unapo kiuka maadili.
Alifukuzwa muasisi wa ASP, muasisi na mshiriki wa yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya 1964 na mjumbe wa Baraza la Mapinduzi, Hassan Nassor Moyo, itakuwa yeye wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar akikuwa kinda, na Baba yake Mzee Abedi aliyatoroka Mapinduzi yeye na wanaye Amani na Ali.
Mtu yeyote awaye yote anaweza kufukuzwa CCM!.
P
Hivi kwanini ccm ukimkosoa kiongozi wako lazima ukutane na mambo kama haya yaliyo mkuta Balozi Ali Karume?Labda kwa watu wasiojua mambo ya tawala za vyama bora duniani...
Ukimsema kiongozi wako vibaya kwa kumwita ni WAKUJA....unategemea nn?!![emoji44]