Hakika wewe ni mwalimu tumtakaye. Nakushauri irudi kwenye ajira yako ya awali na ikimpendeza uje tena kutoa somo kwa wajumbe wa bunge la katiba mpya litakapoanza. Nakutakia kila lililo jema
Uzuri wa CCM, ni kwamba ukiwa mwanachama mtiifu, unaibuka tena - hata utende makosa makubwa aje! Mfano ni mingi: Kinana, Lowasa, Sofia Simba, Nape, Makamba, Mwigulu, Nyalandu, etc.Hahahahaha kila MTU anamuombea mabaya,na akiwa anapita kwenye mitandao atapata sonono.
Bashir Hana vigezo vya hao wengine. Figisu zake zilikua too much.Uzuri wa CCM, ni kwamba ukiwa mwanachama mtiifu, unaibuka tena - hata utende makosa makubwa aje! Mfano ni mingi: Kinana, Lowasa, Sofia Simba, Nape, Makamba, Mwigulu, Nyalandu, etc.
Hivyo siku za mbele kukuta Dr. Bashiru akiwa ameibukia wadhifa mwingine si ajabu.
Kwamba hadi babu tale kamzidiYaani, we acha tu.
Huyu alikua ameshikilia hatma ya wenye Nia wote wa kupata ubunge Tanzania nzima, mpaka ulinzi wa kutosha alikua nao, Leo ana hadhi sawa na mzee Halima. Wote Ni wabunge wakuteuliwa pendwa.