Pre GE2025 Balozi Battle amemwaga sifa kwa Rais Samia Kuimarisha Demokrasia na Uhuru. CHADEMA wamcharukia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko tunakoenda kushitaki, nyie ndio huwa mnaenda kuomba misaada. Hapo Ngoma draw.
Sie tunawaita washirika wa Maendeleo wa Win-Win nyie ni mabwana zenu mnaenda kushtaki 😁😁
 
Uza ubongo huo, hakuna win win kwenye misaada. Kama. Nyie mnawaita washirika wa maendeleo , sisi tunawaita washirika wa wezi wa Mali zetu.
 
Ndio inafuata Sasa mazingira ya Tanzania,Sasa nyie Chadema mapovu ya nini Kwa Balozi?
Nijibu haya if you may.....

Kama demokrasia yetu inafuata mazingira ya Tanzania kwanini tumsikilize mtu ambaye sio mtanzania (sababu kwa logic yake demokrasia yake ni tofauti na yetu) kwahio wa kumuhoji hapa ni Mtanzania zaidi ya mgeni na kwa mtaji huo Chadema ni Mtanzania zaidi kuliko huyo mgeni... (Hapo nafuata logic yako)

Kwa logic yangu mimi kwenye demokrasia UMMA / Mwananchi ndio Mtawala / inabidi asikilizwe saas nikitolea mfano mmoja tu wale walivyolalamika matozo yanawaumiza walijiniwa wahamie Burundi (sasa hapo unaweza kuniambia kuna Demokrasia ? au Watawala wanajiamulia ?)
 
Kimsingi hatumsikilizi ila Kwa kuwa tuna mahitaji Fulani Fulani tunajikuta tunatekeleza Baadhi ya matakwa ya Demokrasia Kwa mujibu wa tafsiri Yao.

Acha porojo,tozo zipi hizo zinazokuumiza wewe nitajie.

Mwisho kwani hujui Serikali ilishazifuta hizo tozo baada kuwasikiliza Wananchi?
 
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru kufanya mikutano ya Kisiasa na maandamano bila bugudha Kwa Polisi alisema haikuwa hivyo miaka michache iliyopita.

Balozi Battle alikuwa akizunhumza kwenye majadiliano ya Kituo Cha Demokrasia Tanzania na kusema anaunga mkono juhudi za serikali ikiwemo Mabadiliko ya sheria za Uchaguzi.

Hata hivyo katika Hali ya kushangaza na licha ya ukweli huo , wafuasi wa Chadema hasa Mtandaoni wamemchafukia wakimshutumu kwamba eti hakuna kilichofanyika na hivyo anakosea kusema Tanzania Kuna Demokrasia.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1791350151363076410?t=ohNV6iSjSNl5T4hNPhmxJg&s=19

My Take
Chadema ni kama Taasisi isiyojielewa.Chadema mnatakiwa kujua kwamba Msimamo wa sera za Nje za Marekani ulishabadilika na Sasa uko partial ,hauingilii Demokrasia za Afrika Moja kwa Moja kama miaka ya nyuma.

So kama hamuwezi kukubali Demokrasia iliyoletwa na Samia mnaweza kupigwa Pini mazima kama.awamu ya 5 na Bado Tanzania na CCM vitaendelea kuwepo na Marekani hatokuwa na Cha kuwasiadia achilia mbali wafadhili wenu wa huko Ubelgiji.

Shika hayo maneno,Ikitokea watu wenye msimamo mkali wa kijamaa kama Makonda Wakishika Dola hakuna rangi mtaacha kuona na ccm lazima watafanya hivyo uchaguzi wa 2030,niko palee mtakuja kukumbuka haya maneno na ndipo mtasaga meno Kwa kuomboleza mkimlilia Samia.Pia soma Kwa Kauli hii ya Balozi wa Marekani Kuhusu Demokrasia, CHADEMA Wameumbuka

Chadema hawana akili wala nidhamu kwa watu waliowazidi,ndio maana wanabaki kuchangia gari la lissu aende zake ubelgiji kula maisha.
 
Ndio maana mwenzao alisema wao ni kama nyumbu!
 
Ata wamarekani ombaomba wapo wengi tu nivile watu weusi ni 🐸👈.
Umasikini wa Wamarekani walio wengi ni wa kujitakia Kwa kudhidisha matumizi ya madawa ya kulevya, starehe kupita kiasi, kutotaka kufanya kazi nk
Umasikini wa USA hauwezi kufananisha na umasikini wa Mtanzania.

Mtanzania/Watanzania wengi ni masikini wakusababishiwa na wanasiasa waliopo kwenye mifumo kushindwa kuset mifumo na kuweka mazingira mazuri Kwa Watanzania woote kufaidika na keki.
 
Screenshot_20240518-182828.png

Je sehemu zilizo na umasikini especially Tz je! Akuna matajiri na kama wapo na hawajihusishi na siasa waliwezaje kuamatajili hiliali umasikini unautafuta mwenyewe!👈.

All poorest wakimbilie ata chunya wakazame kwenye malongo base Mungu atawaona tu!.
 
View attachment 2993295

Hakuna unachoweza kuniaminisha Kwa hiyo picha ya kuigoogle, ukweli utabaki ukweli na waliowahi kufika USA na Europe wanajua hili.

Unanichekesha sana mkuu, sijui umri wako.
La msingi tambua tu Tanzania umasikini wa walio wengi chanzo chake wanasiasa waliopo mamlakani huku hawajui chakufanya zaidi ya kujali maslahi binafsi.

Ukishindwa kutengeneza ajira za kutosha Kwa watu wako tafsiri yake umetengeneza umasikini Kwa watu wako.
Ukishindwa kuchangamsha uchumi wa Taifa lako maana yake umewafanya mamilioni kuwa masikini.
Ukishindwa kutoka huduma Bora za Afya Kwa watu wako tafsiri yako unawafanya wengi kuwa masikini Kwa wengi kuuguaugua na wengi kufa hovyohovyo.
Ukishindwa kutoa elimu Bora na sahihi Kwa watu wako maana yake unawafanya wengi kuwa masikini kwa kukosa maarifa na kuwa wajinga.
Ukishindwa kujenga miundombinu yakisasa na imara maana yake unawafanya wengi kuwa masikini.
Ukishindwa kudhibiti matumizi na mianya ya wizi na rushwa Kwa Taifa lako maana yake unatengenezea masikini wengi katika Taifa lako.
Ukikopakopa hovyohovyo na kushindwa kudhibiti hizo hela unazokopa maana yake unawafanya watu wako kuwa masikini milele maana kila siku watakuwa wanalipa madeni.

Komaza kichwa chako utaelewa, jaribu kuvuka mipaka na kwenda Kwa wengine walioendelea kujifunza maana ya umasikini na utajiri.
 
Lakini ulinielewa ndo ukanijibu?🐸👈.
 
Nadhani Balozi amezungumzia sehemu moja tu ya Demokrasia wamemtega Rais kwa vile sifa hizo zitakuwa timilifu kwenye uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa na madiwani,wabunge na Rais. Maandamano na mikutano ni sehemu moja, uchaguzi kwenye sanduku la kura ni kitu kingine,ngoja tuone. Ila ameanza vizuri Marekani wanampa changamoto tu. kwenye uchaguzi sifa yote hiyo inaweza kutoweka iwapo kutakuwa na madudu mengi na uporaji,tayari chaguzi za marudio ACT ameonyeshwa rangi halisi as a pilot study
 
Hakuna mtu wa kumtega Rais Wala Tanzania maana sio Mali ya USA.
 
Hakuna unachoweza kuniaminisha Kwa hiyo picha ya kuigoogle, ukweli utabaki ukweli na waliowahi kufika USA na Europe wanajua hili.

Unanichekesha sana mkuu, sijui umri wako.
La msingi tambua tu Tanzania umasikini wa walio wengi chanzo chake wanasiasa waliopo mamlakani huku hawajui chakufanya zaidi ya kujali maslahi binafsi.

Ukishindwa kutengeneza ajira za kutosha Kwa watu wako tafsiri yake umetengeneza umasikini Kwa watu wako.
Ukishindwa kuchangamsha uchumi wa Taifa lako maana yake umewafanya mamilioni kuwa masikini.
Ukishindwa kutoka huduma Bora za Afya Kwa watu wako tafsiri yako unawafanya wengi kuwa masikini Kwa wengi kuuguaugua na wengi kufa hovyohovyo.
Ukishindwa kutoa elimu Bora na sahihi Kwa watu wako maana yake unawafanya wengi kuwa masikini kwa kukosa maarifa na kuwa wajinga.
Ukishindwa kujenga miundombinu yakisasa na imara maana yake unawafanya wengi kuwa masikini.
Ukishindwa kudhibiti matumizi na mianya ya wizi na rushwa Kwa Taifa lako maana yake unatengenezea masikini wengi katika Taifa lako.
Ukikopakopa hovyohovyo na kushindwa kudhibiti hizo hela unazokopa maana yake unawafanya watu wako kuwa masikini milele maana kila siku watakuwa wanalipa madeni.

Komaza kichwa chako utaelewa, jaribu kuvuka mipaka na kwenda Kwa wengine walioendelea kujifunza maana ya umasikini na utajiri.
Sio picha ya kugugo,hiyo taarifa ni rasmi na iliwahi tolewa na BBC na Uzi niliwahi leta humu jukwaani.

Maskini huko Marekani wanaongezeka Kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom