Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Balozi Dkt Mohamed Bakari, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru, amewasisitiza vijana kuwa wazalendo na kuhimiza wawe makini na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, akisisitiza waepuke wanasiasa wenye lengo la kuvuruga amani ya Tanzania, badala yake amewahusia kuwa wazalendo wa Tanzania.