TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Heri yao sana wanaofikia umri miaka 70+

Vijana wengi sana kwa sasa wanaishia 40 na kidogo, kuufikia uzee imekuwa ni sawa na kutafuta samaki kwenye bomba la maji ya kisima
Kwa lifestyle ya sasa hivi, pombe kali, vyakula vibovu, bangi kali tumbo tupu, kukosa uaminifu, pressure za mitandao vigumu vijana kufika 80 kama kina Warioba.
 
Wingu jeusi limefunika nchi tuombee nchi yetu tuombee wenye mamlaka wanao tuongoza
Unataka tuwaombee viongozi wanaozunguka dunia huku wanatuacha na njaa halafu wanataka kuongeza TOZO ili wanunue ndege nyingine wakati mwendokasi iko hoi!
You nics whose interests are you serving in parliament?
 
huenda ulikua bado.unanyonya...kipindi cha nyuma ilisemekana hivyo mkuu
Mimi au wewe aliyekuwa ananyonya? Kwa taarifa yako Mexcence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums amemaliza darasa la saba miaka saba baada ya mimi kumaliza darasa la saba shule aliyomaliza. Na shule hiyo inaitwa Shule ya Msingi Kitobo. Muulize Mexcence. Hapo vipi Dogo!!!
 
Maaxece ni mtoto wa juzi.nimemaliza std 7 late 70's...niamkie tafadhari
 
Ni kweli kazaliwa 1968. Siyo hii ya kutokusema ukweli katika cheti cha kuzaliwa. Anyway RIP balozi.
Najaribu kuangalia na kutoa miaka,inamaana alikuwa Mbunge akiwa na miaka 32 tu,na hapo kumbuka anakuwa mbunge akiwa katoka kufundisha Mzumbe University na PhD
 
Ahahahahhaha wengi waliona kama kaleta uhayawani....

Asante mkuu kwa complement...nkende ndo ngedele
 
 
Mwache ajipumzikia maana laana ya kutoka kwa wapiga kura wa jimbo la Nkenge isingemuacha salama baada ya kuwaambia kama wanaona NKENDE NI KERO BASI WAANZE KUWALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…