TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Heri yao sana wanaofikia umri miaka 70+

Vijana wengi sana kwa sasa wanaishia 40 na kidogo, kuufikia uzee imekuwa ni sawa na kutafuta samaki kwenye bomba la maji ya kisima
Kwa lifestyle ya sasa hivi, pombe kali, vyakula vibovu, bangi kali tumbo tupu, kukosa uaminifu, pressure za mitandao vigumu vijana kufika 80 kama kina Warioba.
 
Wingu jeusi limefunika nchi tuombee nchi yetu tuombee wenye mamlaka wanao tuongoza
Unataka tuwaombee viongozi wanaozunguka dunia huku wanatuacha na njaa halafu wanataka kuongeza TOZO ili wanunue ndege nyingine wakati mwendokasi iko hoi!
You nics whose interests are you serving in parliament?
 
huenda ulikua bado.unanyonya...kipindi cha nyuma ilisemekana hivyo mkuu
Mimi au wewe aliyekuwa ananyonya? Kwa taarifa yako Mexcence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums amemaliza darasa la saba miaka saba baada ya mimi kumaliza darasa la saba shule aliyomaliza. Na shule hiyo inaitwa Shule ya Msingi Kitobo. Muulize Mexcence. Hapo vipi Dogo!!!
 
Mimi au wewe aliyekuwa ananyonya? Kwa taarifa yako Mexcence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums amemaliza darasa la saba miaka saba baada ya mimi kumaliza darasa la saba shule aliyomaliza. Na shule hiyo inaitwa Shule ya Msingi Kitobo. Muulize Mexcence. Hapo vipi Dogo!!!
Maaxece ni mtoto wa juzi.nimemaliza std 7 late 70's...niamkie tafadhari
 
Ni kweli kazaliwa 1968. Siyo hii ya kutokusema ukweli katika cheti cha kuzaliwa. Anyway RIP balozi.
Najaribu kuangalia na kutoa miaka,inamaana alikuwa Mbunge akiwa na miaka 32 tu,na hapo kumbuka anakuwa mbunge akiwa katoka kufundisha Mzumbe University na PhD
 
Si ndio hapo aliuliza "what is nkende?"😂. Nilihadithiwa miaka ya baadae. Ni ngedere walikuwa wanakula mazao kutokea misitu jirani.
Nahisi alijibu kwa utani na wala hakuchukua hatua wakasema anawakejeli.
Wakati suluhisho la tatizo kama hilo maeneo mengine ilikuwa ni kukodisha bunduki msimu wa mazao na kushoot siku kadhaa ngedere wanahama wenyewe. Sasa bureaucracy iliyopo kwa wananchi kukodi bunduki ndio waliomba msaada wake.
Ahahahahhaha wengi waliona kama kaleta uhayawani....

Asante mkuu kwa complement...nkende ndo ngedele
 
akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?

Upo sahihi kwa Kiasi kikubwa ila alipokuwa Katibu Ihungo, Mwenyekiti wake alikuwa akiitwa Rwendeile Aloyce. Jamaa mmoja mutu ya Rwanda ambaye baada ya kutoka Ihungo na Kumaliza Shahada yake ya Sheria alirudi Rwanda na kupewa nafasi ya juu sana kwenye serikali ya Kagame
 
marahabaa
Screenshot_20240214_121622_Translate.jpg
 
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024)

--
Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam

Dkt. Buberwa amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nkenge wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, mwaka 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Afrika Mashariki na baadaye Waziri Kamili mwaka 2008 hadi 2010

Mwaka 2011 aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Uholanzi ambako alitumikia nafasi hiyo hadi mwaka 2015 aliporejea kuwa Mbunge hadi mwaka 2020.
==============​
Retired Ambassador and former East African Community Minister, Dr. Diodorus Buberwa Kamala passed away while undergoing medical treatment at Mzena Hospital in Dar es Salaam on February 12, 2024.

Dr. Kamala, born on November 26, 1968, had a distinguished career in public service. He served as the Member of Parliament for the Nkenge constituency in the Missenyi district, Kagera region, from 2000 to 2010. In 2006, he was appointed Deputy Minister for East African Community, and later became the full-fledged Minister from 2008 to 2010.

In 2011, Dr. Kamala was honored with the position of Tanzania's Ambassador to Belgium and the Netherlands, where he dutifully served until 2015. Following his diplomatic tenure, he returned to politics and served as a Member of Parliament until 2020.
Mwache ajipumzikia maana laana ya kutoka kwa wapiga kura wa jimbo la Nkenge isingemuacha salama baada ya kuwaambia kama wanaona NKENDE NI KERO BASI WAANZE KUWALA
 
Back
Top Bottom