TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Maaxece ni mtoto wa juzi.nimemaliza std 7 late 70's...niamkie tafadhari
Watashindwa kukuelewa.

Waambie kwamba ulishapiga kura za kuchagua viongozi akiwemo Rais kwenye awamu ya kwanza, awamu ya pili, awamu ya tatu, awamu ya nne, awamu ya tano ila maajabu imeingia AWAMU YA SITA kulikuwa hakuna cha kupiga kura!
 
Alikuwa jamaa yake na Mzee wangu , mara nyingi alipatikana Morogoro kwenye lodge yake ya VANNILA pale jirani na Roundabout ya SUA

Pia alikuwa na Shamba lake kule Sangsanga kama unaelekea Mzumbe

Huyu Mzee alikuwa tayari keshayatimba kupitia kupenda kule chini , alikuwa anaendesha gari bila kuchukua tahadhari
Wakati wa bunge la 2015 - 2020 nilikuwa nikimuona kupitia media alikuwa amebadilika mwili amekuwa kama mgonjwa na ameezeeka sana. Ilikuwa inaonesha hayupo Sawa sawa kiafya.
 
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024)

--
Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam

Dkt. Buberwa amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nkenge wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, mwaka 2006 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Afrika Mashariki na baadaye Waziri Kamili mwaka 2008 hadi 2010

Mwaka 2011 aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Uholanzi ambako alitumikia nafasi hiyo hadi mwaka 2015 aliporejea kuwa Mbunge hadi mwaka 2020.


====== For English Audience ======
Retired Ambassador and former East African Community Minister, Dr. Diodorus Buberwa Kamala passed away while undergoing medical treatment at Mzena Hospital in Dar es Salaam on February 12, 2024.

Dr. Kamala, born on November 26, 1968, had a distinguished career in public service. He served as the Member of Parliament for the Nkenge constituency in the Missenyi district, Kagera region, from 2000 to 2010. In 2006, he was appointed Deputy Minister for East African Community, and later became the full-fledged Minister from 2008 to 2010.

In 2011, Dr. Kamala was honored with the position of Tanzania's Ambassador to Belgium and the Netherlands, where he dutifully served until 2015. Following his diplomatic tenure, he returned to politics and served as a Member of Parliament until 2020.
Ana uhusiano gani na Kamala Harris
 
Kuna mama mmoja ninasubiri mume wake arest in peace,

Nitamuoa trust me.

Mume wake aliwahi kuwa Kiongozi mkubwa wa Taifa ili na huyo mama ni mh KULE kwenye mjengo Dodoma.

Sitafanya makosa.

Mzee Mandela alivuta mke wa Samora wa msumbiji.

Mimi nitavuta mke hapo karibu na chalinze kuelekea dar na morogoro
Ngoja akusikie mwanae!
 
Back
Top Bottom