Balozi Dkt. Slaa: Hoja za Jaji Feleshi kuhusu mkataba wa Bandari ni sawa hoja za mtoto wa darasa la saba

Balozi Dkt. Slaa: Hoja za Jaji Feleshi kuhusu mkataba wa Bandari ni sawa hoja za mtoto wa darasa la saba

Ingekuwa nchi zinazoheshimu taratibu na sheria, Serikali hii leo labda Rais tumsamehe, hatua zingechukuliwa kuwawajibisha baadhi ya watu.

Sasa hilo linashindikana kwa sababu Rais mwenyewe amesaini. Katika miaka yangu 15 Bungeni sijawahi kuona Rais akitoa kitu kinachofanana na Power of Attorney katika jambo kama hili, kwa sababu sasa limeharibika nani atamwajibisha nani.

Sasa tatizo lao kutotumia utaratibu, nitashangaa sana kama Feleshi alikuwa consulted na akamwambia Rais asaini hiyo power of attorney, halafu Waziri anaposaini sina hakika kama alimconsult.

Mimi kichwani bado najiuliza, kwanini ilimchukua wiki moja Feleshi kutokea kujibu hoja zote za Serikali za kisheria, na alipojibu ni sawa na hoja ya mtoto wa darasa la saba.

Amesema hayo akiwa kwenye press conference, leo Julai 12, 2023

Pia soma:
Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna mkataba wowote ulioingiwa
Msifananishe watoto wa darasa la 7 na mambo ya ajabu.
 
Kinachoshangaza ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi anatia sahili huku Katibu wake akiwa shuhuda wake...sijajua ofisi yetu ya wanasheria walikuwa wapi? au majukumu yao ni yepi sasa.
Inatia ukakasi sana, sijui wao huko maofisini wanajisikiaje sasa.
 
Back
Top Bottom