Balozi Dkt. Slaa: Hoja za Jaji Feleshi kuhusu mkataba wa Bandari ni sawa hoja za mtoto wa darasa la saba

Msifananishe watoto wa darasa la 7 na mambo ya ajabu.
 
Kinachoshangaza ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi anatia sahili huku Katibu wake akiwa shuhuda wake...sijajua ofisi yetu ya wanasheria walikuwa wapi? au majukumu yao ni yepi sasa.
Inatia ukakasi sana, sijui wao huko maofisini wanajisikiaje sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…