TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

Adaption ya makabila ya watu kwa interest binafsi i.e kisiasa nk
 
RIP Olenaiko, Pole kwa familia na wadau, Mzee huyu alifaidi Sana maisha. Miaka ya 80.... Alikuwa meneja mgodi wa dhahabu wa serikali Backreef ... TIC....Balozi....
 
Kama watu wengi wangejua hivyo hii dunia tungeishi vizuri sana ! Lakini bahati mbaya wapo wengi wanadhani hapa ndio wameshafika !! Tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo !!
Maisha mapito.
 
R.I.P hivi natakiwa nifute namba ya simu za Marehemu...
 
Kama hii ni kweli Ole Naiko R.I.PπŸ‘‰
"Nimevipiga
vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda."

Kama sio kweli Mungu mwenyewe aamue pa kukuweka.
 
Kuna wakati nilifikiria TIC ni kampuni yake binafsi.
 
Kuna mmeru anajina la Ole?
Kule kenya alikuwepo mwamba ammoja Mkikuyu lakini akajipachika jina Saitoti jina la kimasai wakati ni Mkikuyu, wengi walibadili majina kwa kujipa majina ya kimasai sababu ya kupata fursa za kusoma miaka ya nyuma wakati Wamasai walikuwa wanabembelezwa kwenda shule na hata ukiwa Mmasai maksi za kufaulu zilikuwa zipo chini kulinganisha na makabila mengine,na hata misaada mingi miaka hiyo walipewa Wamasai,kwa hiyo usishanga e Mmeru kujiita mmasai. Kama umezaliwa kile kipindi cha TANU yajenga nchi nadhani usingeuliza hili swali nina wasiwasi umezaliwa labda kipindi Mzee Mrema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu enzi zile akitoa siku 7 ufike ofisini kwake na lambo la wekundu wa Msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…