Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Tuko kwenye majonzi tafadhaliUnatesa sana wanaume jf kwa avatar yako sio fresh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko kwenye majonzi tafadhaliUnatesa sana wanaume jf kwa avatar yako sio fresh
Wewe ndio unatutesa sisi wanaume na ulivyo na makusudi kila uzi unakoment I wish upigwe ban. Umeharibu kwaresma ya wengi na sasa unaenda kuharibu ramadhani.Tuko kwenye majonzi tafadhali
Nitaacha kucomment kila Uzi..nimekosa MimiWewe ndio unatutesa sisi wanaume na ulivyo na makusudi kila uzi unakoment I wish upigwe ban. Umeharibu kwaresma ya wengi na sasa unaenda kuharibu ramadhani.
Weka hata avatar ya nyani au tairi la gari walau kwa miezi hii mitukufu.Nitaacha kucomment kila Uzi..nimekosa Mimi
RipView attachment 2169523
Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam.
Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote.
Balozi Ole-Naiko amewahi kushika nyadhifa mbali mbali kwenye serikali ikiwemo Mkurugenzi mkuu wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
Wakati wa mauti unamfika alikuwa ni balozi wa Heshima wa Botswana.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwake Utulivu Road, Bahari Beach, Dar es salaam
Balozi Naiko alizaliwa tarehe 24 Julai 1951.
Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
2 Timotheo 4; 7
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda
Sawa kesho nitabadilishaWeka hata avatar ya nyani au tairi la gari walau kwa miezi hii mitukufu.
Halafu Huyo niwewe kabisa nishakufwatilia sana ndio maana unaficha sura unaweka mapaja na chini ya navel pics mi naumia sana ngoja nisiharibu uzi wawatu ila nakuzimia kinyama yani.Sawa kesho nitabadilisha
Wacha wee!Utulivu Road, Bahari Beach, Dar es salaam
Ulitumia kipimo gani kupima akili zake!!?Pole wafiwa alikuwa kichwa hasa alikuwa na akili nyingi mno ni kati ya watanzania wachache ambao walikuwa na akili hasa sio za kuunga unga
Mtoto ana mkatiko flani hv amazing!!Unatesa sana wanaume jf kwa avatar yako sio fresh
Mtoto ana mkatiko flani hv amazing!!
Unajuaje wapo mbinguni?Alale Salama....
Msalimie Mzee wetu Six...aka SS na wengine walioko mbinguni waambie ni full vurugu mechi huku...
Miaka 10 baada ya kuwaibia TV yenu chogo black and whiteNilikutana nae kwa mara ya kwanza okinawa japani 1998/9 rip
Ki asili sio mmasai mkuuR.I.P balozi Ole Naiko japo sikukusikia ukiwatetea wamasai wenzako wakati wa was was mkuu kwao
Hahahahahaaah kweli kabisa mkuu, mmeru wa Tengeru arushaApumzike kwa amani!
Sio mmasai ni Mmeru kama Edward lowassa
Ndiyo umejua leoMaisha mapito.