Balozi Emmanuel Nchimbi amtembelea Jaji Joseph Warioba nyumbani kwake

Mbali na kupata baraka za wazee bila shaka katiba mpya nayo imegusiwa,je ipo mbioni tusubiri kujua zaidi.
 
Muda si mrefu Warioba ataeleweka vizuri kwa wote.
Simamia haki kama kawaida yako Hon Warioba.
 
Mzee wetu anaonekana kama amechoka, alikuwa sawa kweli? Hivi majuzi tu alikuwa hatembelei mkongojo.
Mkuu Warioba kwa umri wake sidhani kama yuko vibaya sana. Pengine wembamba wake unamfanya aonekane kama hayuko vizuri, Mungu amemjalia sana akili, Bado ana kumbukumbu nzuri na akili zinafanya kazi kuliko Samia kumi weka kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…