Mbona maktaba ya jaji warioba haina picha ya mama yenu?Nimefurahi kuona Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimtembelea na kumjulia hali, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam.
MY TAKE;
Ziara hii ina maana gani kwa Watanganyika? Mchakato wa Katiba unanukia?
View attachment 3622377
View attachment 3622373View attachment 3622374View attachment 3622375
Bado weweinteresting
mhUshauri nasaha, kuelekea kujiuzulu.