Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Soma ujumbe huu wa Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki useme alimaanisha nini.soma kwa kutulia na ujibu baada ya kutafakari na kuelewa na siyo ukimbie mbiombio kujibu tu
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.