Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna viongozi wa Tanzania akiwepo Hayati Rais Benjamin Mkapa walifika Kenya kusaidia kupata suluhu
"Sisi wa Kenya na Tanzania ni ndugu na sisi ni jirani, Matukio ambayo yanatokea kwenye nyumba ama makazi ya jirani yako yatakuhusu wewe kama jirani"- Amesema Balozi Isaac Njenga
"
"Sisi wa Kenya na Tanzania ni ndugu na sisi ni jirani, Matukio ambayo yanatokea kwenye nyumba ama makazi ya jirani yako yatakuhusu wewe kama jirani"- Amesema Balozi Isaac Njenga