Balozi Jabir: Watanzania 900 wapata ajira Saudi Arabia

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
 
isee ila mambo mengin ni kuachana nayo tu..
wakitangaza za canada na europe mnishtue..
 
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
Watanzania si ndo sisi wenyewe tunaosoma huu uzi. Hao 900 walitaarifiwa vipi na taratibu zipi.
 
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
ukipata komment 10 kabla ya saa tisa alasiri niite mbwa nakaa pale!!!.. Nakusubiri
 
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
101% watakuwa Wazanzibar.
 
watanzania wengi wenye utalaam na uchimbaji wa madini kwa maana ya uchimbaji na utengenezaji wa mitambo siku za karibuni wamekuwa wakipata kazi sana saudia kwenye makampuni kama Barrick, Bynercut offshore, saudi comedad nk lakini sidhani kama ni msaada wa serikali bali kupitia recruitment agencies mbalimbali baada ya kugundua Tanzania kuna cheap labor na skilled workforce ya mining ambayo unaweza kuilipa $4000/month.

Wengi miners wamepata kazi baada ya Saudia kuanza kuachana na workforce ya kihindi na phillipinoz na soko hili la ajira limekuwa halihusiana na Balozi bali ni kampuni fulani fulani baada ya kuajili maminers wa kitanzania na kuchapa kazi vizuri basi zikaamua kuchukua Watanzania.

Zipo kazi kwa sasa za mining Saudi Arabia zinaprefer kabisa Tanzaniana/Ghananians.
 
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
Leo unaziita ajira ila baada ya mwaka mtaanza kututupia mitandaoni picha za ma housegirl wanao nyanyaswa kingono kwa kubakwa na familia za waarabu.

Be careful na hizo mnazoita ajira, ni human trafficking tu
 
Makampuni kama Barrick na Byanecut offshore yana experience na Watanzania na sio waumini wakuajili wahindi na waphilipino bali hupenda WaAfrica zaidi, Byanecut offshore ni australian company ambao wamefanya kazi Buly na Northmara na kuajili watanzania kadhaa Saudia kwenye mgodi wa Barrick na kiwango cha maminer ndio kimevutia makampuni kadhaa ya Saudia kwenye migodi ya gold, nickel na phosphate kuvutiwa na kuajili wabongo.

Huwezi kuajili Australians, Canadians, Southafricans kwa $4000 - $5000 baadala yake makampuni mengi yameopt miners kutoka Ghana na Tanzania au Zambia kwa hizo $4000-$5000.

Balozi asitake kujipatia ujiko kwa wimbi hilo la watu kwenye mining na construction.
 
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi.

Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
Hawa ndio wale wadada wa kazi wanaobakwa na kudhalilishwa au unamaanisha nini ?
 
Hakuna kitu kama icho mkuu hapa unaenda ikiwa serikali yako inajua kwaiyo mambo kama hayo hayapo then sio kazi za beki tatu zinazoongelewa hapa hizi ni kazi professional
 
Leo unaziita ajira ila baada ya mwaka mtaanza kututupia mitandaoni picha za ma housegirl wanao nyanyaswa kingono kwa kubakwa na familia za waarabu.

Be careful na hizo mnazoita ajira, ni human trafficking tu
Sio kufanya kazi za ndani tu kuna kazi proffesional kwaiyo usikalili
 
Back
Top Bottom