Makampuni kama Barrick na Byanecut offshore yana experience na Watanzania na sio waumini wakuajili wahindi na waphilipino bali hupenda WaAfrica zaidi, Byanecut offshore ni australian company ambao wamefanya kazi Buly na Northmara na kuajili watanzania kadhaa Saudia kwenye mgodi wa Barrick na kiwango cha maminer ndio kimevutia makampuni kadhaa ya Saudia kwenye migodi ya gold, nickel na phosphate kuvutiwa na kuajili wabongo.
Huwezi kuajili Australians, Canadians, Southafricans kwa $4000 - $5000 baadala yake makampuni mengi yameopt miners kutoka Ghana na Tanzania au Zambia kwa hizo $4000-$5000.
Balozi asitake kujipatia ujiko kwa wimbi hilo la watu kwenye mining na construction.