Balozi Karume amemsahau Liu Zhidan wa chama cha CCP cha China aliyefutiwa heshima akiwa kaburini

Wanaokosoana ndani ni mtu na mkewe,msiwapangie watu sehemu ya kuongea.
Si kweli mzaramo...

Umeusahau msemo "praise in the public and criticise in the closet"?!!

CCM kina utaratibu wa kuyaongelea mambo yake ndani na si nje....

Utaratibu huo hujawahi kuusikia huko CHADEMA?!!
 
Bashiru Ali alikuja kuwa KM wa CCM na alishiriki ktk mipango ya kumfukuza uanachama Membe.
Vp Bashiru alikuwa mdandia meli ama alikuwa baharia?
Ni vyema majibu yake akakupa mzee wetu komredi Balozi Ali Karume [emoji1787][emoji1787]
 
Si kweli mzaramo...

Umeusahau msemo "praise in the public and criticise in the closet"?!!

CCM kina utaratibu wa kuyaongelea mambo yake ndani na si nje....

Utaratibu huo hujawahi kuusikia huko CHADEMA?!!
Nimekataa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa ili niwe huru kumkosoa yeyote na kumpongeza yeyote.
 
Yah right. Baba wa Taifa angefufuka ajionee jinsi gani Watanzania wanavyonyaswa na kikundi kidogo cha Chama alichokiasisi. Au malengo yalikuwa kujikomboa toka kwa Mkoloni Mweupe ili tujinyanyase wenyewe chini ya Mkoloni Mweusi ....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…