Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

Indirect way of human trafficking
 
Warangi Ni Kama mabaki ya waarabu.. na kujifanya wanaujua Sana uislamu.. Sasa sipati picha Kama wakikutana na mwarabu Kama Kuna kitu huwa wanampinga., Hofu yangu... ......Ni mtandao pendwa 0713 kama huwa unabaki Salama..
naskia huo mkongo wa 0713 unatikiswa sana hadi network inapeteana
 
inaniumiza sana lakini ndio hivyo taifa la kifaken hapo ukimani. bora kufanya kazi za ndani kwa mzungu sio kwa waarabu. simaanishi wabaya, hapana! lakini wana uduwanzi fulani. sema wadada wanavumilia sana. naongea haya kwa experience ya kuelezwa kutoka kwa wahusika.
kwa Afrika mfano Cape Verde wanapeleka sana wasaidizi wa ndani Ureno.
 
nafikiria kuja kuanzisha agency yangu ya wasaidizi wa kazi za ndani uarabuni wa kwenda na kurudi, nifungue ofisi na kuisajili hukuhuku arabia. kwa arabuni bora mdada awe anakwenda na kurudi kama ikiwezekana lakini sio kukaa hapohapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…