Balozi kuhanga mkuu mpya udsm

Balozi kuhanga mkuu mpya udsm

Polen sana. huyu mzee alikuwa mwenyekiti wa baraza la chuo cha Sokoine na alipostaafu kamwachia Luhanjo yule katibu kiongozi. cha kushangaza sana huyu jamaa ni mzee sanaa, sijui kwa nini asiachwe akapumzike? Yaani kwenye watanzania wote, hakuna anayefaa zaidi ya huyu mzee? Ndio maana hatuendelei maana mzee kama huyu hana dreams au fantasies tena, yupo tuuuu!

Siasa bhana, sijui kwa nini wanasiasa hawana akili, hata ya kuona vitu vya wazi kama hivi

Katibu mkuu kiongozi fisadi; aliiba fedha nyingi kwa kushirikiana na fisadi mwenzie Jairo, baadhi ya fedha hizo za wizi wamezitumia kununa ardhi/mashamba huko Njombe/Lupembe!!!
 
Duuh blessings aliandikaga hii kitu mwezi Machi, 2014 hatimaye imekuwa kweli. Tuambie blessings ulikuwa kwenye appointment committee nn? HONGERA BALOZI KUHANGA ( CHANCELLOR MPYA WA UDSM)
 
Back
Top Bottom