Balozi Lumbanga: Suala la Katiba mpya haliepukiki, Tunajaribu kucheza na akili za watu

Balozi Lumbanga: Suala la Katiba mpya haliepukiki, Tunajaribu kucheza na akili za watu

“Mimi huwa nasema kila siku, Kama siyo Magufuli (hayati Rais John) kuamua kugombea wakati ule, CCM ilikuwa inapoteza. Tulishafanya analysis zetu kabisa tukaona CCM haiendi mbali. Magufuli kuja kugombea ndiyo ime rejuvenate (imeifufua) CCM.
Kauli nzito sana hii.
 
Chama Cha Majangili kitamsukia zengwe muda siyo mrefu,yanaweza ata yakaagiza serikali isimpe pensheni zake za kila mwezi na vilevile nafasi wa Mwenyekiti wa bodi akazisikia redioni,maana Mashirika ya umma si ndiyo kimvuli cha wastaafu kupunzikia kama wenyeviti wa Bodi.
 
Na Profesa Kitila kasema lakini,na bado ni mbunge, pengine utasema uwaziri ameukosa, lakini ni mbunge tena wa CCM.
Huyo kashaona 2025. Hana Jimbo kaamua kujilipua.

CCM ndo walivyo polepole alianza shule ya uongozi baada ya kutemwa.


Sasa analamba asali kimyaa

So CCM washatuona Sisi mapoyoyo wanakula Kwa shida zetu
 
Back
Top Bottom